Tronics guru
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 10,442
- 8,074
Nishachimba visimaWote tunapitia vipindi tofauti mpaka tunakaa sawa,Kuna vipindi life linakua tight sana yaani ukija mchongo wowote huachi.
Michongo niliyoifanya kipindi nipo mavumbini ni
-Kuuza bando mtandaoni
-Kuuza links za utamu(hii ndio ilininunulia vitu vya geto )
-uwinga (hii ilinifungulia milango mingi sana)
Wewe michongo gani umepiga kipindi unajitafuta?
hustling isn't hobby
Ulozi kwa kwenda mbeleWote tunapitia vipindi tofauti mpaka tunakaa sawa,Kuna vipindi life linakua tight sana yaani ukija mchongo wowote huachi.
Michongo niliyoifanya kipindi nipo mavumbini ni
-Kuuza bando mtandaoni
-Kuuza links za utamu(hii ndio ilininunulia vitu vya geto )
-uwinga (hii ilinifungulia milango mingi sana)
Wewe michongo gani umepiga kipindi unajitafuta?
hustling isn't hobby
Hivi Mkuu ulozi unalipa!?Ulozi kwa kwenda mbele
Inakuhusu sana uone kumbe wengi hupitia magumuAmbao bado tunajitafuta mada haituhusu, tunasoma comment tu
Saidia fundi.Wote tunapitia vipindi tofauti mpaka tunakaa sawa,Kuna vipindi life linakua tight sana yaani ukija mchongo wowote huachi.
Michongo niliyoifanya kipindi nipo mavumbini ni
-Kuuza bando mtandaoni
-Kuuza links za utamu(hii ndio ilininunulia vitu vya geto )
-uwinga (hii ilinifungulia milango mingi sana)
Wewe michongo gani umepiga kipindi unajitafuta?
hustling isn't hobby
Kujipata ni dhana pana mkuu.Kwahiyo mtoa mada ushajipata
Soma hapa,Kuna code zinafungukaAmbao bado tunajitafuta mada haituhusu, tunasoma comment tu
Du watu mnamajibu nimependaKujipata ni dhana pana mkuu.
Ila tu Kuna tofauti ya Leo na jana
Link outWote tunapitia vipindi tofauti mpaka tunakaa sawa,Kuna vipindi life linakua tight sana yaani ukija mchongo wowote huachi.
Michongo niliyoifanya kipindi nipo mavumbini ni
-Kuuza bando mtandaoni
-Kuuza links za utamu(hii ndio ilininunulia vitu vya geto )
-uwinga (hii ilinifungulia milango mingi sana)
Wewe michongo gani umepiga kipindi unajitafuta?
hustling isn't hobby
Wote tunapitia vipindi tofauti mpaka tunakaa sawa,Kuna vipindi life linakua tight sana yaani ukija mchongo wowote huachi.
Michongo niliyoifanya kipindi nipo mavumbini ni
-Kuuza bando mtandaoni
-Kuuza links za utamu(hii ndio ilininunulia vitu vya geto )
-uwinga (hii ilinifungulia milango mingi sana)
Wewe michongo gani umepiga kipindi unajitafuta?
hustling isn't hobby
Hapa imekaaje mkuu 😂-Kuuza links za utamu(hii ndio ilininunulia vitu vya geto )
Asee kumbe Breakthrough ipo ,,Wote tunapitia vipindi tofauti mpaka tunakaa sawa,Kuna vipindi life linakua tight sana yaani ukija mchongo wowote huachi.