Mnyama leo kawatandika virungu 6-0 timu ya Polisi Morogoro, inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza.. Na hii ni katika mechi yake ya kwanza ya kirafiki mkoani hapa Morogoro, kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao.
Wafungaji ni Ibrahim Ajib katupia goli 2 kambani, Abdi Banda 1, Mo Kijiko goli 1 na Frederic Blagnon katupia goli 2 kambani.
Ikumbukwe huyu, Blagnon ni mchezaji toka Ivory Cost.. ameletwa na Vincent Angban kwa ajili ya majaribio.. Ili kama akilishwawishi benchi la ufundi asajiliwe.
Kwa soka lililooneshwa leo na hawa vijana wa Joseph Omog..
NAWEKA AKIBA YA MANENO.
mil 330 haijafika hata tuliyoipata kwa okwi..sembo
Ona wenzako walio na akili. Hebu tumia jicho la tatu kutazama yalilomo..
Nyie mmekaa huko manungu hamjaingiza hata tone la shilingi.
LICHA YA WATANI(YANGA) KUCHEZEA KICHAPO, HUU MKWANJA UNAWAHUSU.
sembo
Ona wenzako walio na akili. Hebu tumia jicho la tatu kutazama yalilomo..
Nyie mmekaa huko manungu hamjaingiza hata tone la shilingi.
LICHA YA WATANI(YANGA) KUCHEZEA KICHAPO, HUU MKWANJA UNAWAHUSU.
Hajui kama wqtajikuta wanadaiwa...anaiona mil 330 ni nyingi anasahau kuna mechi mashabiki waliingua bure wakati gharama za kuandaa timu, gharama za mchezo ziko pale pale...Mkuu ukitoa gharama za kukaa uturuki kwa mda wa wiki 2 + zaidi ya milioni 150 kumnunua Chura.. kuna kitu kitabaki hapo?!
Poleni sana Mkuu.. na karibuni tena nyumbani.
Mkuu Bantu lady kulifedhehesha Taifa kuna kuja hivi,Yanga wala hamjalifedhehesha Taifa, kama hawa wa matopeni wanavyotaka kuaminisha watu. Mmevuka hatua nyingi kufikia hapo. Kutoka tu nje ya TZ tayari mmelitangaza Taifa, kwa namna moja ama nyingine.
Viva Yanga, tuko pamoja na nyie wachezaji. Mpira una matokeo 3. Kushinda, kushindwa na sare. Wao watabaki kuwaonea Ndanda na Polisi tu, kimataifa hamchezi ng'oo...
#teamyangaforever#
Mkuu kama Miss Tanzania, matokeo yake alipokutana na mamiss wenzake, kashika mkia kwa kuachwa ponti nyingi saaana.. Lakujifunza hapa.dah....
aliyeshika mkia miss Tz na aliyeshika namba 1 miss kijiji, wapi na wapi?