lil wayne
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 992
- 904
Kama wao sio bora mbona wapo pale na sisi bado tuko huku chini.?Mkuu hilo ni tatizo.. Ila unatakiwa kufahamu matatizo lukuki tuliyonayo hayamfanyi mtani kua bora.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wao sio bora mbona wapo pale na sisi bado tuko huku chini.?Mkuu hilo ni tatizo.. Ila unatakiwa kufahamu matatizo lukuki tuliyonayo hayamfanyi mtani kua bora.
Chipukizi wako mchangani. Hii ni hatua ya nane boraSafii, hiyo ndo Simba. Leo wakimataifa wamepigwa bao 3-1 na chipukizi wa Medeama ambao wapo nafasi za chini hadi aibu. Beki yake chekeche ile mbaya.
Mkuu hebu tusimuhukumu kwa sasa.. Baada ya mechi kadhaa ndo tuanze kumjudge.. Mana nakumbuka, hata Homa ya Jiji Ngoma haikuchukua round.. Tukaanza kujuta kumfahamu, kwanini isiwe kwa Blagnon? Tumpe mda kidogo.
Kiiza alikuwa amesha ji_establish tayari na uwezo wake wa kupasia nyavu...
Huyu jamaa mpya mpaka azoee mikikimikiki ya Ligi nadhani Yanga & Azam watakuwa wametupiga gape la hadi point 14.
Yanga wangekua bora wasingeambulia kapointi kamoja katika mechi 4.. Yanga was best among the worst, msimu uliopita.
Sija kataa hilo.
Swali ni hivi.... Kwanini sisi hatuwi bora among the worst hapa kwetu....?
Ni heri hao Yanga SC walio thubutu hata kupambana kuliko sisi Simba SC ambayo timu yetu imefichwa kwenye vivuli vya visingizio vya kijinga.
Unafikiri hao Yanga SC wangepataje nafasi kama sisi tungekuwa bora zaidi yao?