mzee wa ngada
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 693
- 293
We kigeugeu,ikishinda yanga unajifanya yanga ikishinda Sumba utajifanya Simba.Msimbaz chama langu la ukweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We kigeugeu,ikishinda yanga unajifanya yanga ikishinda Sumba utajifanya Simba.Msimbaz chama langu la ukweli
Mkuu mechi ya jana Morogoro ilikua ni ya kujiandaa na msimu ujao.. Japo si kipimo tosha.. Ushindi huu una maana gani?Yanga yaendelea kufungwa ghana simba yatembeza dozi morogoro i repet yanga yaendelea kufungwa ghana simba yatembeza dozi morogoro...eti mshabiki wa simba anatoka anaongea ujinga huu.moro kwenye kombe gani
Mkuu sijaifananisha Simba S.C [Taifa Kubwa] na Yanga, ambazo kamwe hazitafanana.. Ila nilichikionesha hapa ni kua.. Kipindi wakimataifa wakiadhibiwa kisawasawa Africa Magharibi na timu ya vijana ya Madeama.. Mda huo huo katika upande mwingine wa bara la Africa, Africa Mashariki.. Mtani wake Simba S.C alikua akiwaadhibu vilivilivyo mapolisi wa Morogoro.. katika mechi ya kujiandaa na msimu ujao.Simba Morogoro mlikuwa mpo kwenye mashindano gani mpaka mjifananishe na Yanga?
Natamani siku moja niwe na majivuno kama hayo kwa timu yangu Simba SC. Hatua hatupigi kazi yetu ni kumcheka aliyepiga hatua chache!Yanga wala hamjalifedhehesha Taifa, kama hawa wa matopeni wanavyotaka kuaminisha watu. Mmevuka hatua nyingi kufikia hapo. Kutoka tu nje ya TZ tayari mmelitangaza Taifa, kwa namna moja ama nyingine.
Viva Yanga, tuko pamoja na nyie wachezaji. Mpira una matokeo 3. Kushinda, kushindwa na sare. Wao watabaki kuwaonea Ndanda na Polisi tu, kimataifa hamchezi ng'oo...
#teamyangaforever#
Sasa ile tunaipata kila msimu.mil 330 haijafika hata tuliyoipata kwa okwi..
Mimi naona no kheri aao kuliko sisi. Yaani inafika hatua viongozi wanashindwa kulipa mishahara ya wachezaji.Mkuu ukitoa gharama za kukaa uturuki kwa mda wa wiki 2 + zaidi ya milioni 150 kumnunua Chura.. kuna kitu kitabaki hapo?!
Poleni sana Mkuu.. na karibuni tena nyumbani.
Mkuu Bantu lady kulifedhehesha Taifa kuna kuja hivi,
1. Ikumbukwe Yanga ni Bingwa wa ligi inayoaminika kuwa ni bora kabisa katika ukanda wa CECAFA... Leo hii timu inashika mkia.. Si fedheha hii?!
2. Katika mechi nne na mabingwa wenzake, kachezea vichapo vitatu.. Kafungwa goli 5 Kafunga goli 1.. Kaambulia pointi 1 tu katika mechi 4.. Na anashika mkia.
3. Pamoja na mbwembwe nzito za maandalizi... mapicha kibao mkipanda ndege kwenda uturuki kwa ajili ya maandalizi.. Kufanya usajili wa wachezaji "wakimataifa", ili awavushe kimaraifa I.e Chura.. ambae anaonekana lile rungu alilopigwa wajina wake na Basata, limemuathiri hata yeye.. Leo mnashika mkia kweli?!
Mwisho:
Kwajinsi mlivyoliaribisha taifa.. Sidhani kama mawakala wa timu bora kabisa kama SonderjskE na KRC Genk watathubutu tena kujitwalia kina Ajib, Abdi Banda na Mkude kwa ada ya zaidi ya mil. 330 kwa kila mmoja.
Wataalam wa mpira walishasema hii timu ni ya watalii wa kula kichapo tu kila mwaka. Wao wanauza magazeti tu na kujisifia redioni, waje uwanjani sasa, tacheka. Walijitapa kinoma kwamba tutafia uwanjani na lazima turudi na ushindi....kiko wapiiii? Oh tunakwenda kupambabana huko eti kieleweke. Mnaambiwa mpira ni formation na ujuzi si kamati ya ufundi. Oh wa kimataifa, nyooooo. Mmefungwa leo hii magazeti yote yatadorora mitaani leo.
Hiyo alifanya muhindi wenu transit france yule mchezaji mrundi(nimemsahau)akakimbia na fuko la ngada ndio kisa wachezaji hawakupata KIA wakaambulia vicorolaWanaondoka kila Mchezaji kabeba furushi la Ngada watakosaje kufungwa
Yanga wangekua bora wasingeambulia kapointi kamoja katika mechi 4.. Yanga was best among the worst, msimu uliopita.
Ni heri hao Yanga SC walio thubutu hata kupambana kuliko sisi Simba SC ambayo timu yetu imefichwa kwenye vivuli vya visingizio vya kijinga.
Unafikiri hao Yanga SC wangepataje nafasi kama sisi tungekuwa bora zaidi yao?
Naweka kumbukumbu sawa;
Kiiza OUT.. Frederic Blagnon IN
Tambwe Out
Ndiaw In
Naweka kumbukumbu sawa;
Kiiza OUT.. Frederic Blagnon IN
Sija kataa hilo.Yanga wangekua bora wasingeambulia kapointi kamoja katika mechi 4.. Yanga was best among the worst, msimu uliopita.