Kipindi Wakimataifa wakiendelea kulifedhehesha Taifa, Mnyama atakataka kisawasawa Morogoro

Yanga yaendelea kufungwa ghana simba yatembeza dozi morogoro i repet yanga yaendelea kufungwa ghana simba yatembeza dozi morogoro...eti mshabiki wa simba anatoka anaongea ujinga huu.moro kwenye kombe gani
Mkuu mechi ya jana Morogoro ilikua ni ya kujiandaa na msimu ujao.. Japo si kipimo tosha.. Ushindi huu una maana gani?

1. Umempatia mwanga, Omog kuona ni wachezaji gani, watakua msaada katika mfumo wake wa "maangamizi" katika msimu ujao.

2. Umempatia mwanga, Omog kuona baada ya mazoezi mazito ya fiziki kwa muda wa wiki mbili.. Je kuna mabadiliko, au aongeze dozi?

3. Wiki hii anapoanza kupandikiza mbinu zake kwa wachezaji.. Mechi ya jana imemsaidia kufahamu aanzie wapi kusuka kombinesheni mbali mbali za maangamizi.

Mkuu stephanoadolph vipigo vizito mnavyoendelea kupatiwa bila huruma Kila baada ya wiki 2 katika michuano ya Kimataifa toka katika timu za Kimataifa.. vinawasaidia nini?!?
 
Simba Morogoro mlikuwa mpo kwenye mashindano gani mpaka mjifananishe na Yanga?
 
Simba Morogoro mlikuwa mpo kwenye mashindano gani mpaka mjifananishe na Yanga?
Mkuu sijaifananisha Simba S.C [Taifa Kubwa] na Yanga, ambazo kamwe hazitafanana.. Ila nilichikionesha hapa ni kua.. Kipindi wakimataifa wakiadhibiwa kisawasawa Africa Magharibi na timu ya vijana ya Madeama.. Mda huo huo katika upande mwingine wa bara la Africa, Africa Mashariki.. Mtani wake Simba S.C alikua akiwaadhibu vilivilivyo mapolisi wa Morogoro.. katika mechi ya kujiandaa na msimu ujao.
 
Wataalam wa mpira walishasema hii timu ni ya watalii wa kula kichapo tu kila mwaka. Wao wanauza magazeti tu na kujisifia redioni, waje uwanjani sasa, tacheka. Walijitapa kinoma kwamba tutafia uwanjani na lazima turudi na ushindi....kiko wapiiii? Oh tunakwenda kupambabana huko eti kieleweke. Mnaambiwa mpira ni formation na ujuzi si kamati ya ufundi. Oh wa kimataifa, nyooooo. Mmefungwa leo hii magazeti yote yatadorora mitaani leo.
 
Natamani siku moja niwe na majivuno kama hayo kwa timu yangu Simba SC. Hatua hatupigi kazi yetu ni kumcheka aliyepiga hatua chache!
 
mil 330 haijafika hata tuliyoipata kwa okwi..
Sasa ile tunaipata kila msimu.

Kumbuka wenzetu wanashiriki huko kila season, na kupata hiko kidogo. Jiulize ni misomu mingapi wameshiriki tangu sisi tushiriki mara ya mwisho.?

Hoja zisizo za msingi hazina maana.
 
Mkuu ukitoa gharama za kukaa uturuki kwa mda wa wiki 2 + zaidi ya milioni 150 kumnunua Chura.. kuna kitu kitabaki hapo?!
Poleni sana Mkuu.. na karibuni tena nyumbani.
Mimi naona no kheri aao kuliko sisi. Yaani inafika hatua viongozi wanashindwa kulipa mishahara ya wachezaji.
 

Ni heri Mwanajeahi anayeenda vitani kupigana hivyo hivyo huku akijua ana nafasi ndogo sana ya kushinda vita. Kuliko.

Yule aliyekata tamaa kabisa kushiriki vitani ikijulikana kuwa hana uwezo aa kupigana hata kwa kithubutu.... na yupo nyumbani amejificha.

Je hapo ni nani anaonekana kutokuwa na uzalendo wa Taifa lake?

Je aliye nyumbani anaweza kumcheka aliyevitani?

Tatizo ni Sisi wana simba ambao tunasahau ya kwetu na kuanza kuhadaha ya jirani, ikiwa ya kwetu yanatushinda tunawezaje ya jirani.
 


Ni heri hao Yanga SC walio thubutu hata kupambana kuliko sisi Simba SC ambayo timu yetu imefichwa kwenye vivuli vya visingizio vya kijinga.

Unafikiri hao Yanga SC wangepataje nafasi kama sisi tungekuwa bora zaidi yao?
 
Wanaondoka kila Mchezaji kabeba furushi la Ngada watakosaje kufungwa
Hiyo alifanya muhindi wenu transit france yule mchezaji mrundi(nimemsahau)akakimbia na fuko la ngada ndio kisa wachezaji hawakupata KIA wakaambulia vicorola
 

Ni heri hao Yanga SC walio thubutu hata kupambana kuliko sisi Simba SC ambayo timu yetu imefichwa kwenye vivuli vya visingizio vya kijinga.

Unafikiri hao Yanga SC wangepataje nafasi kama sisi tungekuwa bora zaidi yao?
Yanga wangekua bora wasingeambulia kapointi kamoja katika mechi 4.. Yanga was best among the worst, msimu uliopita.
 
Mimi naona no kheri aao kuliko sisi. Yaani inafika hatua viongozi wanashindwa kulipa mishahara ya wachezaji.
Mkuu hilo ni tatizo.. Ila unatakiwa kufahamu matatizo lukuki tuliyonayo hayamfanyi mtani kua bora.
 
Naweka kumbukumbu sawa;

Kiiza OUT.. Frederic Blagnon IN


Kiiza alikuwa amesha ji_establish tayari na uwezo wake wa kupasia nyavu...

Huyu jamaa mpya mpaka azoee mikikimikiki ya Ligi nadhani Yanga & Azam watakuwa wametupiga gape la hadi point 14.
 
Yanga wangekua bora wasingeambulia kapointi kamoja katika mechi 4.. Yanga was best among the worst, msimu uliopita.
Sija kataa hilo.

Swali ni hivi.... Kwanini sisi hatuwi bora among the worst hapa kwetu....?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…