Kipindi Wakimataifa wakiendelea kulifedhehesha Taifa, Mnyama atakataka kisawasawa Morogoro

Safii, hiyo ndo Simba. Leo wakimataifa wamepigwa bao 3-1 na chipukizi wa Medeama ambao wapo nafasi za chini hadi aibu. Beki yake chekeche ile mbaya.
Chipukizi wako mchangani. Hii ni hatua ya nane bora
 


Kiiza alikuwa amesha ji_establish tayari na uwezo wake wa kupasia nyavu...

Huyu jamaa mpya mpaka azoee mikikimikiki ya Ligi nadhani Yanga & Azam watakuwa wametupiga gape la hadi point 14.
Mkuu hebu tusimuhukumu kwa sasa.. Baada ya mechi kadhaa ndo tuanze kumjudge.. Mana nakumbuka, hata Homa ya Jiji Ngoma haikuchukua round.. Tukaanza kujuta kumfahamu, kwanini isiwe kwa Blagnon? Tumpe mda kidogo.
 
Yanga wangekua bora wasingeambulia kapointi kamoja katika mechi 4.. Yanga was best among the worst, msimu uliopita.

Hivi Omog hana leseni ya UEFA kama yule mwingereza ?
 
Sija kataa hilo.

Swali ni hivi.... Kwanini sisi hatuwi bora among the worst hapa kwetu....?

Wafukuzeni Aveva na Hans Pope bora hata mkamrudisha Hassan Dalali
 

Ni heri hao Yanga SC walio thubutu hata kupambana kuliko sisi Simba SC ambayo timu yetu imefichwa kwenye vivuli vya visingizio vya kijinga.

Unafikiri hao Yanga SC wangepataje nafasi kama sisi tungekuwa bora zaidi yao?


Usilete Usimba na Uyanga hapa....si kila mtu ni mpenzi wa hizi timu uchwara zinazoua vipaji vya watanzania kwenda kujiokotea wachezaji nchi za nje kana kwamba hapa nyumbani hatuna wachezaji. Yanga ilitamba magazetini sana, ohhh mwaka huu ni kulisha dozi tu timu za Afrika lakini wapi. Tatizo la mashabiki wa hizi timu uchwara wana kumbukumbu finyu sana ya mpira. We jiulize toka "Wa Kimataifa wa Kubamizwa kila mwaka," waanze hii michuano, nini cha maana walichokifanya? Wao wakipanda ndege tu, basi juwa huko mtu anakwenda kubebeshwa 6 - 0 na kudhalilishwa, lakini wapi watu bado wanashupalia tu kudanganywa na kununua magazeti kwa wiiiiingi wakati hamna lolote, hasara tupu. Zife tu hizi timu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…