Kipindupindu Chalipuka Jiji La Maraha,Nairobi

Angalau na afadhari nawaona mnavyopambana UPUUZI

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Kipindupindu husababishwa na kula mlo uliochanganyika na vinyesi..Nairobi watu wanakula ugali na kitiweo cha kinyesi, halafu unateremsha na kikombe cha mkojo, Hivi utakwepa kipindupindu vipi?
Sasa wewe wajichanganya. Mara mnasema eti Kenya hatuna chakula kisha mnasema eti tunala chakula kilichokuzwa kwa kinyesi. Ipi ndio ipi.
 
Ahaaa haaa haaa
Hapo itakuwa wamekula kinyesi kibichi. Maana kinyesi kikipikwa na vijidudu vya magonjwa (vibrio cholerae) vikifa, hapo hamna shida. Tatizo ni pale ukila kinyesi bila kupikwa.
 
Vibrio cholerae. Jamani.
 
Tony254, unaizungumziaje hali ya Kenya kwa ujumla, kwasababu nchi kama Burundi zimeweza kudhibiti kipindupindu kwa miaka mingi sasa pamoja na changamoto walizonazo, vipi Kenya inaendelea kusumbuliwa na ugonjwa wa underdevelopment?

Sent using Jamii Forums mobile app

Duu mara njaa, huku kipindupindu?
Hapo lazima akili zikuruke.
 
Sasa wewe wajichanganya. Mara mnasema eti Kenya hatuna chakula kisha mnasema eti tunala chakula kilichokuzwa kwa kinyesi. Ipi ndio ipi.
Turkana hakuna chakula, hata vinyesi hakuna maana watu walio na njaa hawawezi kunya...Nairobi kumejaa Kipindupindu sababu kuna matajiri na vinyesi vyao ndio kitoweo cha watu wa kibera na mathare
 
Ahaaa haaa haaa
Hapo itakuwa wamekula kinyesi kibichi. Maana kinyesi kikipikwa na vijidudu vya magonjwa (vibrio cholerae) vikifa, hapo hamna shida. Tatizo ni pale ukila kinyesi bila kupikwa.
You & your friend mkikuyu should just stick to economics.what you're spewing here is despicable. A class 4 kenyan pupil would beat you in explaining about this waterborne disease in a civilised manner.
 
Madaktari wa Nairobi wanafaa wasifiwe Kwa kuweka mipango ambayo inachunguza early warning signs nakuchukua mikakati kabambe ya kuhakikisha hospitali zinajihami vilivyo..... Kitambo ulikua unasikia watu wamelazwa hospitalini na wengine wamekufa ndo serekali inachukua hatua ..this is the way to go ...if a few people are diagnosed with cholera you send out an alert to all hospitals to prepare for an outbreak that way no one will die from cholera...

Tanzania watu hufa na cholera mtu asidanganye hapa... How do you think Tanzanians have a shorter life span, Natural causes? Don't think so!!!!! Cholera – United Republic of Tanzania
 
In quantitalive or scientific research communications we call spoon a spoon, spade a spade etc.
 
Madaktari wa Nairobi wanafaa wasifiwe Kwa kuweka mipango ambayo inachunguza early warning signs nakuchukua mikakati kabambe ya kuhakikisha hospitali zinajihami vilivyo..... Kitambo ulikua unasikia watu wamelazwa hospitalini na wengine wamekufa ndo serekali inachukua hatua ..this is the way to go ...if a few people are diagnosed with cholera you send out an alert to all hospitals to prepare for an outbreak that way no one will die from cholera...

Hahahahaha
Tanzania watu hufa na cholera mtu asidanganye hapa... How do you think Tanzanians have a shorter life span, Natural causes? Don't think so!!!!! Cholera – United Republic of Tanzania
Za
Suala sio kuandaa wodi za wagonjwa? Suala ni nyinyi wakenya kuacha kula Mavi na kunywa Maji taka.
I think the issue in Nairobi is Clean clean water, hapo wasee wa GDP mnafeli sana..
Halafu hizo habari za Kipindupindu na njaa ni Mambo ya Ulimwengu wa Tatu, I am surprised what kind of Middle Income Kenya is, besides Tz has been a victim of Cholera years ago, Kwa sasa maji safi kwa Jiji la Dar na Miji yote tz sio changamoto tena ndio maana hizi cases zimetoweka nowdays,
You can Imagine dar consumes only 20% of the water supplied by DAWASA
 
Back
Top Bottom