Kipindupindu Kenya ni suala mtambuka?

Kipindupindu Kenya ni suala mtambuka?

GODZILLA

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2014
Posts
5,909
Reaction score
10,542
Kati ya magonjwa ya aibu, mojawapo ni Kipindupindu.

Kimsingi, mtu anayeugua Kipindupindu ni mtu aliyekula MAVI.

Mazingira ya kula mavi yanaletelezwa na uchafu na kunya kunya hovyo!

Ukitaka kupima ustaarabu au kupevuka kiakili kwa jamii yoyote, au mahali popote, anza na mahali wanapotoa haja.

Ukiona watu wanakunya kunya hovyo ujue bado mno, kichwani ni sifuri tupu.

FB_IMG_15941974623936354.jpg
 
Back
Top Bottom