Kipindupindu Kenya ni suala mtambuka?

Kipindupindu Kenya ni suala mtambuka?

Dah
JamiiForums1208432142.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa mkiingereza, njoo ueleze wangapi wamekufa, kuugua, kupona kwa kula kinyesi kibichi?
Je chanjo itafika lini?

Nilishakuambia upunguze hasira utafute darasa la kingereza ili ufikie hadhi ya kujadili chochote na mimi.

Halafu kipindupindu ni kitu cha kawaida Tanzania, siku zote ukiona chochote kinachoathiri Wakenya ujue kwa Tanzania ni mara kumi zaidi.
 
Sawa kabisa mkiingereza, kwa hiyo majengo yanavyodondoka kama maembe huko nairobery ujue tanzania ni mara 1000.
My ribs,
🤣 🤣 🤣
 
Majengo huporomoka hata kwa mataifa kama Marekani yenye uchumi mara 1,000 zaidi yenu sembuse sisi ambao uchumiwetu ni mara mbili yenu nyie msiojua kuongea kingereza kwa mlivyo wazembe...hehehe

Nilishawaambia muache hasira mjifunze kingereza.....

Buddah vipi, mbona unamwaga povu la kizungu?

Nasikia wewe unajivunia kunya hadharani kinyume na maagizo mliyopewa huko kunyaland?
 
Kingereza kina raha...kwanza misamiati mbele ya nyie watu wa ze ze ze mnadata na kupiga kimya.
 
Ningekuona wa maana kama ungetumia kiingereza kuzuia majengo kuporomoka au kupunguza, kipindupindu, njaa, rushwa, ukabila.
 
Huna jeuri ya kunipima maana haujui kingereza....
 
Back
Top Bottom