babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Ni wachafu mnoo.hii inasadifu vizuri sana maana ya dola la KUNYALAND
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wachafu mnoo.hii inasadifu vizuri sana maana ya dola la KUNYALAND
Yule jamaa ni bwaku ngaji sanaTupate maoni ya zezeta wa kibera MK254
Kenya ni nchi ya nne Africa kwenye nchi zinazo ongoza kwa cholera outbreaks.
View attachment 1501083
Nadhani ni kwa sababu haina fursa za kujichotea pesa [emoji23][emoji23][emoji23]Mbona sasa kwenye hii sporadic disease (KIPINDUPINDU) hawatangazi maambuki, deaths, survivors, etc in daily basis?
Kingereza kimekugomea.
Sawa mkiingereza, njoo ueleze wangapi wamekufa, kuugua, kupona kwa kula kinyesi kibichi?
Je chanjo itafika lini?
Nilishakuambia upunguze hasira utafute darasa la kingereza ili ufikie hadhi ya kujadili chochote na mimi.
Halafu kipindupindu ni kitu cha kawaida Tanzania, siku zote ukiona chochote kinachoathiri Wakenya ujue kwa Tanzania ni mara kumi zaidi.
Sawa kabisa mkiingereza, kwa hiyo majengo yanavyodondoka kama maembe huko nairobery ujue tanzania ni mara 1000.
My ribs,
🤣 🤣 🤣
en.wikipedia.org
Buddah vipi, mbona unamwaga povu la kizungu?Majengo huporomoka hata kwa mataifa kama Marekani yenye uchumi mara 1,000 zaidi yenu sembuse sisi ambao uchumiwetu ni mara mbili yenu nyie msiojua kuongea kingereza kwa mlivyo wazembe...hehehe
Nilishawaambia muache hasira mjifunze kingereza.....
Category:Building collapses in the United States - Wikipedia
en.wikipedia.org
Buddah vipi, mbona unamwaga povu la kizungu?
Nasikia wewe unajivunia kunya hadharani kinyume na maagizo mliyopewa huko kunyaland?
Hebu andika tukione!
Kingereza kina raha...kwanza misamiati mbele ya nyie watu wa ze ze ze mnadata na kupiga kimya.
Ningekuona wa maana kama ungetumia kiingereza kuzuia majengo kuporomoka au kupunguza, kipindupindu, njaa, rushwa, ukabila.