Kipindupindu (uchafu), gharama za maisha, uzamani na ubovu wa ICT, vyawakimbiza watalii Kenya

Own goal. The same report ranks Kenya higher than Tanzania in competitiveness. (Lower is better)
Kenya - 82
Tanzania - 95

Kenya dropped 1 points, Tanzania dropped 4 points.

In safety and hygiene, Kenya ranks higher than Tanzania. (Higher is better)
Kenya - 3.4
Tanzania - 3

In ICT, Tanzania ranks much lower than Kenya. (Higher is better)
Kenya - 3.5
Tanzania - 2.69

Also, there is no mention of cholera in the actual report.
The Nation reporter just wrote his own things.

Kwa hivyo, hio headline umeandika kwa thread, it would be more appropriate if you replaced Kenya with Tanzania.

Enda ukasome ripoti yote, wacha ubongolala.

View attachment 1205061

View attachment 1205068
Huyu jamaa ananishangaza sana, yani naona hata sikuhizi anasoma habari nyingi kutoka Kenyan media kuliko media zao... Sasa ameenda kujisomea ripoti iliondikwa from Kenyan perspective, badala aende aangalie Tz iko wapi analeta ripoti hapa wakati Tz bado iko nyuma ya Kenya licha ya Kenya kushuka kwa ranking....

1568284185682.png

1568283891459.png
 
Huyu jamaa ananishangaza sana, yani naona hata sikuhizi anasoma habari nyingi kutoka Kenyan media kuliko media zao... Sasa ameenda kujisomea ripoti iliondikwa from Kenyan perspective, badala aende aangalie Tz iko wapi analeta ripoti hapa wakati Tz bado iko nyuma ya Kenya licha ya Kenya kushuka kwa ranking....

View attachment 1205361

View attachment 1205344
Tatizo kati yetu na ninyi ni kwamba mpo na very low IQ, hamna akili kabisa, ndio sababu nchi yenu inafanya vibaya sana katika kila eneo.

Huu Uzi unahusu kuporomoka kwa Kenya, hauzungumzii kuhusu " position ya Kenya". Hata kama mpo juu ya Tanzania, " what matters is where you are now, but is direction and speed ".

Tanzania's direction is up ward, while that of Kenya is downward. Remember this trend is more important than position. While we were liberating Africa, you were busy with economy, now we are busy with economy.
 
Look at the trend Mr Rumor Monger.

From this photo it is clearly stating that Tanzania have gone 4 steps backwards while Kenya is only 1 step backwards. Nikisema you are an SI unit of stupidity unaona vibaya.
tapatalk_1568285884319.jpeg
 
Tatizo kati yetu na ninyi ni kwamba mpo na very low IQ, hamna akili kabisa, ndio sababu nchi yenu inafanya vibaya sana katika kila eneo.

Huu Uzi unahusu kuporomoka kwa Kenya, hauzungumzii kuhusu " position ya Kenya". Hata kama mpo juu ya Tanzania, " what matters is where you are now, but is direction and speed ".

Tanzania's direction is up ward, while that of Kenya is downward. Remember this trend is more important than position. While we were liberating Africa, you were busy with economy, now we are busy with economy.
sasa nyinyi watanzania ambao mko clinicallly proven kwamba ndo mnatumia 1% ya akili ndo unatuambia sisi ndo hatuna akili 😂 😂 😂 😂

imepita zaidi ya miaka kumi na tano sasa, Uchumi wa Tz umekua ukikua kwa kiasi kikubwa kushinda Kenya, ilhali gap ya GDP imezidi kuongezeka!!!!.... hio trend unayoongelea inalingana na base uliotoka, just because mko na trend kubwa haimaniishi eti basi mtaipiku Egypt au SA hivi karibuni.

Alafu kuhusu hilo la sijui mlikomboa Africa, hizo ni porojo za vijiweni, kuna nchi zilifanya mengi kuwaliko na Uchumi zao bado ni kubwa kuwaliko... Hivi unajua miaka ya 80's GDP ya Kenya ilikua only $1B more than GDP ya Tz???? Wakati huo mlikua mnasema Tz itaipiku Kenya miaka michache ijayo, hadi wa leo bado mnaimba huu wimbo!

Hili ni gazeti la enzi hizo

EDj-KByWwAAqFjh.jpg
 
Tatizo kati yetu na ninyi ni kwamba mpo na very low IQ, hamna akili kabisa, ndio sababu nchi yenu inafanya vibaya sana katika kila eneo.

Huu Uzi unahusu kuporomoka kwa Kenya, hauzungumzii kuhusu " position ya Kenya". Hata kama mpo juu ya Tanzania, " what matters is where you are now, but is direction and speed ".

Tanzania's direction is up ward, while that of Kenya is downward. Remember this trend is more important than position. While we were liberating Africa, you were busy with economy, now we are busy with economy.

Low IQ nigga.
Tanzania has dropped more positions than Kenya. Do you know how to read?
 
sasa nyinyi watanzania ambao mko clinicallly proven kwamba ndo mnatumia 1% ya akili ndo unatuambia sisi ndo hatuna akili [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

imepita zaidi ya miaka kumi na tano sasa, Uchumi wa Tz umekua ukikua kwa kiasi kikubwa kushinda Kenya, ilhali gap ya GDP imezidi kuongezeka!!!!.... hio trend unayoongelea inalingana na base uliotoka, just because mko na trend kubwa haimaniishi eti basi mtaipiku Egypt au SA hivi karibuni.

Alafu kuhusu hilo la sijui mlikomboa Africa, hizo ni porojo za vijiweni, kuna nchi zilifanya mengi kuwaliko na Uchumi zao bado ni kubwa kuwaliko... Hivi unajua miaka ya 80's GDP ya Kenya ilikua only $1B more than GDP ya Tz???? Wakati huo mlikua mnasema Tz itaipiku Kenya miaka michache ijayo, hadi wa leo bado mnaimba huu wimbo!

Hili ni gazeti la enzi hizo

View attachment 1205466
Tukisema Hamna akili mnasema tunawadhalilisha. Kwanza niambie binadamu wa kawaida anatumia asilimia ngapi ya Ubongo wake?.

Kuhusu uchumi, hivi unajua tofauti ya uchumi na GDP kweli wewe?, hivi unajua kwamba Bill Gate akiamua kuhamia na kuishi Burundi na pesa zake zote, bila kumgawia mtu yeyote pale Burundi, statistics zitaonyesha kwamba GDP ya Burundi ni $90B, lakini wananchi bado watabaki kama walivyo sasa hivi?.

Hatuzungumzii hiyo GDP yenu ya kupika katika makaratasi wakati hata chakula kinawashinda, hakuna ajira, hakuna usalama, maji safi na salama ni shida kipindupindu hakiishi, slums zinaongezeka, Huduma za Afya sio nzuri, Madeni yanawazidi nguvu, sasa hiyo GDP iko wapi?
 
hivi unajua kwamba Bill Gate akiamua kuhamia na kuishi Burundi na pesa zake zote, bila kumgawia mtu yeyote pale Burundi, statistics zitaonyesha kwamba GDP ya Burundi ni $90B, lakini wananchi bado watabaki kama walivyo sasa hivi?.

Low IQ idiot.
GDP ni value ya goods and services ya mwaka moja.
Bill Gates net worth ni yake aliyofikisha kutoka azaliwe. Sio revenue ya mwaka mmoja.
Burundi GDP yake itapanda na income ya Bill Gates ya mwaka moja, ambayo iko generated inside Burundi. Which is zero.

Another proof that TZ education is shit.
 
Tukisema Hamna akili mnasema tunawadhalilisha. Kwanza niambie binadamu wa kawaida anatumia asilimia ngapi ya Ubongo wake?.

Kuhusu uchumi, hivi unajua tofauti ya uchumi na GDP kweli wewe?, hivi unajua kwamba Bill Gate akiamua kuhamia na kuishi Burundi na pesa zake zote, bila kumgawia mtu yeyote pale Burundi, statistics zitaonyesha kwamba GDP ya Burundi ni $90B, lakini wananchi bado watabaki kama walivyo sasa hivi?.

Hatuzungumzii hiyo GDP yenu ya kupika katika makaratasi wakati hata chakula kinawashinda, hakuna ajira, hakuna usalama, maji safi na salama ni shida kipindupindu hakiishi, slums zinaongezeka, Huduma za Afya sio nzuri, Madeni yanawazidi nguvu, sasa hiyo GDP iko wapi?
Uchumi na GDP ni kitu kimoja wacha wazimu wewe, labda utofautishe Utajiri wa watu VS Uchumi/GDP ya nchi ambao bado tunawashinda..... Kwahivyo peleka porojo zako za watu wavivu huko nyumbani kwenu!

Tuangalia mfano mmoja wa Huduma za Afya na tutumie huo mfano wa kipindupindu...
Hii intadhahirisha kweli vile Tanzania hakuna media kabisa!!!!!

Kenya Chorela outbreak and deaths.... WHO
---------------------------------------------------------
Since the beginning of 2017, Kenya is experiencing an upsurge of cholera cases. The first cholera outbreak reported in 2017 was in Tana River County. The outbreak started on 10 October 2016 and was controlled by April 2017.
A second wave of cholera outbreaks started in Garissa County on 2 April 2017 and was reported later in nine other counties including Nairobi, Murang’a, Vihiga, Mombasa, Turkana, Kericho, Nakuru, Kiambu, and Narok. The outbreak is being reported in the general population and in refugee camps. In Garissa County, the outbreak is affecting mainly Dadaab refugee camps and cases and deaths are being reported from Hagadera, Dagahaleh, and IFO2 camps. In Turkana county, the disease is also affecting Kakuma and Kalobeyei refugee camps.
In addition to the outbreak reported in the general population, there have been two point source cholera outbreaks in Nairobi County. One occurred among participants attending a conference in a Nairobi hotel on 22 June 2017. A total of 146 patients associated with this outbreak have been treated in different hospitals in Nairobi. A second outbreak occurred at the China Trade Fair held at the KICC Tsavo Ball between 10 and 12 July 2017. A total of 136 cases were reported and one death.
Currently, the outbreak is active in two counties, namely Garissa and Nairobi. As of 17 July 2017, a total of 1216 suspected cases including 14 deaths (case fatality rate: 1.2%) have been reported since 1 January 2017. In the week ending 16 July 2017, a total of 38 cases with no deaths were reported.
A total of 124 cases tested positive for Vibrio cholerae in the reference laboratory. In the week ending 25 June 2017, 18 samples out of 25 tested positive for Vibrio cholerae Ogawa by culture at the National Public Health Laboratory in Nairobi.
The main causative factors of the current outbreak include the high population density that is conducive to the propagation and spread of the disease, mass gatherings (a wedding party held in Karen and in a hotel during an international conference), low access to safe water and proper sanitation and the massive population movements in country and with neighbouring countries.
Since December 2014, the Republic of Kenya has been experiencing continuous large outbreaks of cholera, with a cumulative total of 17 597 cases reported (10 568 cases reported in 2015 and 6448 in 2016).

----------------------------------------------------------------------------------------------

Tanzania Cholera outbreaks and death.... WHO

-----------------------------------------
From 15 August 2015 through 7 January 2018, 33 421 cases including 542 deaths (case fatality rate = 1.62%) have been reported across all 26 regions of the United Republic of Tanzania (Tanzania mainland and Zanzibar). Tanzania mainland has reported 86% of the total cases in this outbreak. Children under five years old accounted for 11.4% of cases. Since the beginning of the outbreak over 7000 specimens have been tested for cholera and 47% were positive for Vibrio cholerae by culture.

From 1 January 2017 through 31 December, 4985 cases including 99 deaths have been reported in Tanzania Mainland and Zanzibar. The number of cases as well as geographical spread of cholera has markedly reduced compared to the two previous years. During the same period in 2016, 14 547 cases and 225 deaths were reported for Tanzania mainland and Zanzibar. In 2017, the highest number of cases was reported from Mbeya Region during week 31 (week starting 31 July 2017) and from Songwe Region during week 43 (week starting 23 October 2017). Between weeks 49-52, Uvinza, Songwe and Nyasa districts reported the highest number of cases.

The resurgence of cases in Kigoma, Manyara, Dodoma, Mbeya and Dar es Salaam regions, and Ruvuma and Rukwa regions reporting cases for the first time since the beginning of the outbreak reflects the persisting risk for a cholera upsurge in many other regions. Zanzibar has reported no cases since the last case was reported on 11 July 2017, however high population movement to and from Tanzania Mainland still poses a risk of spread to Zanzibar.

Figure 1: Number of cholera cases in Tanzania mainland reported by week of illness onset from 1 January through 7 January between 2015-2018.

-----------------------------------------------------

Hizo ndo sababu kwanini mtanzania wa Kawaida anaishi maisha mafupi kuliko Mkenya wa kawaida, lakini vile media yenu imelala, kila siku unasoma ripoti za media ya Kenya ukidhani huku ndo kubaya kumbe huko kwenu mnakufa kimya kimya...... Endelea kunipigia story za vijiweni tu
 
Low IQ idiot.
GDP ni value ya goods and services ya mwaka moja.
Bill Gates net worth ni yake aliyofikisha kutoka azaliwe. Sio revenue ya mwaka mmoja.
Burundi GDP yake itapanda na income ya Bill Gates ya mwaka moja, ambayo iko generated inside Burundi. Which is zero.

Another proof that TZ education is shit.
Hahahahahahah, hapo umeua mbuzi ukamzika na ukaeka simiti juu yake !!!!!!
 
Low IQ idiot.
GDP ni value ya goods and services ya mwaka moja.
Bill Gates net worth ni yake aliyofikisha kutoka azaliwe. Sio revenue ya mwaka mmoja.
Burundi GDP yake itapanda na income ya Bill Gates ya mwaka moja, ambayo iko generated inside Burundi. Which is zero.

Another proof that TZ education is shit.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kupatikana kwake huku ni next year. Umempea za uso
 
Uchumi na GDP ni kitu kimoja wacha wazimu wewe, labda utofautishe Utajiri wa watu VS Uchumi/GDP ya nchi ambao bado tunawashinda..... Kwahivyo peleka porojo zako za watu wavivu huko nyumbani kwenu!

Tuangalia mfano mmoja wa Huduma za Afya na tutumie huo mfano wa kipindupindu...
Hii intadhahirisha kweli vile Tanzania hakuna media kabisa!!!!!

Kenya Chorela outbreak and deaths.... WHO
---------------------------------------------------------
Since the beginning of 2017, Kenya is experiencing an upsurge of cholera cases. The first cholera outbreak reported in 2017 was in Tana River County. The outbreak started on 10 October 2016 and was controlled by April 2017.
A second wave of cholera outbreaks started in Garissa County on 2 April 2017 and was reported later in nine other counties including Nairobi, Murang’a, Vihiga, Mombasa, Turkana, Kericho, Nakuru, Kiambu, and Narok. The outbreak is being reported in the general population and in refugee camps. In Garissa County, the outbreak is affecting mainly Dadaab refugee camps and cases and deaths are being reported from Hagadera, Dagahaleh, and IFO2 camps. In Turkana county, the disease is also affecting Kakuma and Kalobeyei refugee camps.
In addition to the outbreak reported in the general population, there have been two point source cholera outbreaks in Nairobi County. One occurred among participants attending a conference in a Nairobi hotel on 22 June 2017. A total of 146 patients associated with this outbreak have been treated in different hospitals in Nairobi. A second outbreak occurred at the China Trade Fair held at the KICC Tsavo Ball between 10 and 12 July 2017. A total of 136 cases were reported and one death.
Currently, the outbreak is active in two counties, namely Garissa and Nairobi. As of 17 July 2017, a total of 1216 suspected cases including 14 deaths (case fatality rate: 1.2%) have been reported since 1 January 2017. In the week ending 16 July 2017, a total of 38 cases with no deaths were reported.
A total of 124 cases tested positive for Vibrio cholerae in the reference laboratory. In the week ending 25 June 2017, 18 samples out of 25 tested positive for Vibrio cholerae Ogawa by culture at the National Public Health Laboratory in Nairobi.
The main causative factors of the current outbreak include the high population density that is conducive to the propagation and spread of the disease, mass gatherings (a wedding party held in Karen and in a hotel during an international conference), low access to safe water and proper sanitation and the massive population movements in country and with neighbouring countries.
Since December 2014, the Republic of Kenya has been experiencing continuous large outbreaks of cholera, with a cumulative total of 17 597 cases reported (10 568 cases reported in 2015 and 6448 in 2016).

----------------------------------------------------------------------------------------------

Tanzania Cholera outbreaks and death.... WHO

-----------------------------------------
From 15 August 2015 through 7 January 2018, 33 421 cases including 542 deaths (case fatality rate = 1.62%) have been reported across all 26 regions of the United Republic of Tanzania (Tanzania mainland and Zanzibar). Tanzania mainland has reported 86% of the total cases in this outbreak. Children under five years old accounted for 11.4% of cases. Since the beginning of the outbreak over 7000 specimens have been tested for cholera and 47% were positive for Vibrio cholerae by culture.

From 1 January 2017 through 31 December, 4985 cases including 99 deaths have been reported in Tanzania Mainland and Zanzibar. The number of cases as well as geographical spread of cholera has markedly reduced compared to the two previous years. During the same period in 2016, 14 547 cases and 225 deaths were reported for Tanzania mainland and Zanzibar. In 2017, the highest number of cases was reported from Mbeya Region during week 31 (week starting 31 July 2017) and from Songwe Region during week 43 (week starting 23 October 2017). Between weeks 49-52, Uvinza, Songwe and Nyasa districts reported the highest number of cases.

The resurgence of cases in Kigoma, Manyara, Dodoma, Mbeya and Dar es Salaam regions, and Ruvuma and Rukwa regions reporting cases for the first time since the beginning of the outbreak reflects the persisting risk for a cholera upsurge in many other regions. Zanzibar has reported no cases since the last case was reported on 11 July 2017, however high population movement to and from Tanzania Mainland still poses a risk of spread to Zanzibar.

Figure 1: Number of cholera cases in Tanzania mainland reported by week of illness onset from 1 January through 7 January between 2015-2018.

-----------------------------------------------------

Hizo ndo sababu kwanini mtanzania wa Kawaida anaishi maisha mafupi kuliko Mkenya wa kawaida, lakini vile media yenu imelala, kila siku unasoma ripoti za media ya Kenya ukidhani huku ndo kubaya kumbe huko kwenu mnakufa kimya kimya...... Endelea kunipigia story za vijiweni tu
Kuna wakati huwa ninahisi ninapiteza muda wangu bila sababu kujadiliana na mtu kama wewe mwenye uwezo mdogo sana wa akili, huwa ninaamua kuachana na wewe. Akili yako ni ndogo sana.

South Africa GDP yake ni $350B
Population yake ni 65M. GDP per capita ni $7000. Lakini kwasababu 10% ya population inamiliki 85% ya GDP, hiyo $7000 per capital ni theory tu, lakini kiukweli uchumi wa watu wa wananchi ni mdogo sana, ndio sababu ya kuanzishwa kwa EFF.

Julius Malema, hakuridhishwa na GDP ya kwenye makaratasi ameamua kupigania uchumi wa kweli. Ninyi wakenya kutokana na akili yenu mbovu, mumeamua kufurahia uchumi wa GDP ya mwenye karatasi, 62% ya uchumi wa Kenya unamilikiwa na watu elfu 6 pekee, bado mnapiga kelele za uchumi mkubwa.

Uchumi gani huo ambao unashindwa kutengeneza ajira, kusambaza maji ya kutosha, kulipia wagonjwa wenye saratani, kulipa deni la taifa, kugharimia miradi mikubwa bila kukopa?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Watakuja kubisha tena.
Ona baadhi ya wakenya wenye akili.

Kelele nyingi, mwisho wa siku zero content... Kama wewe ndo una akili basi ongea kama mtu mwenye akili, sio kupiga porojo za hewani

Kwa mfano, unaloongekea hapo ni mali ya mtu binafsi

“Wealth” refers to the net assets of a person. It includes all their assets (property, cash, equities,
business interests) less any liabilities.

Hapo bado tunawashinda na mbali sana! next time, ukiamua kujifaya mwenye akili basi tumia ushahidi, si kupiga story tu, e.g ukitaja saratani, toa takwimu za watu walio na saratani na maafa yake TZ vs Ke,,,etc, sio tu kupiga domo ilhali tunajua mwisho wa siku Watz wengi wanakufa kuliko wakenya
 
Kuna wakati huwa ninahisi ninapiteza muda wangu bila sababu kujadiliana na mtu kama wewe mwenye uwezo mdogo sana wa akili, huwa ninaamua kuachana na wewe. Akili yako ni ndogo sana.
South Africa GDP yake ni $350B
Population yake ni 65M. GDP per capita ni $7000. Lakini kwasababu 10% ya population inamiliki 85% ya GDP, hiyo $7000 per capital ni theory tu, lakini kiukweli uchumi wa watu wa wananchi ni mdogo sana, ndio sababu ya kuanzishwa kwa EFF.
Julius Malema, hakuridhishwa na GDP ya kwenye makaratasi ameamua kupigania uchumi wa kweli. Ninyi wakenya kutokana na akili yenu mbovu, mumeamua kufurahia uchumi wa GDP ya mwenye karatasi, 62% ya uchumi wa Kenya unamilikiwa na watu elfu 6 pekee, bado mnapiga kelele za uchumi mkubwa.
Uchumi gani huo ambao unashindwa kutengeneza ajira, kusambaza maji ya kutosha, kulipia wagonjwa wenye saratani, kulipa deni la taifa, kugharimia miradi mikubwa bila kukopa?

Kuna mwingine kasema GDP ni gov't revenue.
Kama wakenya wana akili ndogo na wamewashinda watzedi kwa kila kitu, that means the latter hawana akili
Cc: eliakeem
 
Back
Top Bottom