Kipini puani sio umalaya kwa mwanamke, ni tamaduni

Kipini puani sio umalaya kwa mwanamke, ni tamaduni

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
Suala la kuvaa kipindi kwa pwani ni suala la kawaida na urembo, Pwani, Tanga ni jambo la kawaida. Tatizo watu wa bara wana mtazamo finyu wa utofauti wa jamii, mtu ametoa huko anakuja anakuta watu wamevaa vipini anaona ni umalaya.

Tuelewane, siyo mtazamo sahihi.

1666860175727.png
 
Marehemu baba alimkataza mama kututoboa sikio,

Na alimwambia watatoboa wenyewe wakijitambua,,,sasa kati ya siye watatu mmoja tu katoboa sikio, siye wawili hapana tumesimamia msimamo hakuna kutoboa,

Aisee hivi ngozi ya pua ilivyo ngumu,maumivu yake si [emoji91]?
 
Suala la kuvaa kipindi kwa pwani ni suala la kawaida na urembo, Pwani, Tanga ni jambo la kawaida. Tatizo watu wa bara wana mtazamo finyu wa utofauti wa jamii, mtu ametoa huko anakuja anakuta watu wamevaa vipini anaona ni umalaya.

Tuelewane, siyo mtazamo sahihi.

Wote malaya ,wagawa chin pumba v 🤧🤧
 
Suala la kuvaa kipindi kwa pwani ni suala la kawaida na urembo, Pwani, Tanga ni jambo la kawaida. Tatizo watu wa bara wana mtazamo finyu wa utofauti wa jamii, mtu ametoa huko anakuja anakuta watu wamevaa vipini anaona ni umalaya.

Tuelewane, siyo mtazamo sahihi.

hoja ni kwa mwanaume.
 
na wanaotoboa ulimi kama yule msanii mwanaume aliyetoboa ulimi wake?
 
Huu utoboaji wa siku hizi ndo umeleta yote haya hasa baada ya kuonekana ni wanawake wa aina fulani (uswahilini) ndo wanapenda hizo vipini.

Ila zamani wala hakukuwa na taswira hiyo ya uhuni sijui uma**ya ilikuwa ni sehemu urembo kama ulivyo urembo mwingine.
 
Yaani umchukie tu mtu kisa kaweka kipini. Kwamba ukimuona na kipini unajisikia kinakuchoma pua yako?

Chuki nyingine zinashangaza
Kipini ni ishara
Kikuku ni ishara
Wanaotoga ulimi ni ishara
Wanaotoga kitovu ni ishara
Wengine wanatoga machoni kwenye ngozi ya kope ni ishara
Wapo ambao wanaotoga hadi k zao pia hio ni ishara

Wanaovaa wanajua wanaashiria nini
Wanaotoga wanajua wanaashiria nini

Hizo ni lugha ya alama/ishara sio kila mtu anajua
 
Back
Top Bottom