Kipini puani sio umalaya kwa mwanamke, ni tamaduni

Kipini puani sio umalaya kwa mwanamke, ni tamaduni

Kwahiyo kipini inatoa ishara gani mkuu nipo kwa ajili ya kujifunza na mimi
Nimekwambia anza na kikuku kesho vaa alafu katisha K/Koo Mtaa wa Congo na Msimbazi, utatuletea mrejesho
 
Mkuu hizo ni ishara za kikundi sio za tamaduni, kuna kikundi kikiona umevaa hizo ishara kinajua wewe ni mwanakikundi mwenzao wame-take-over hio culture wameiweka kwenye signals, ukiona uulizi mara 3
Sasa unawachukia ili iweje?
Yaani unaumia kabisa 🤣🤣🤣
Unapata shida kwa matendo ya mwingine ambayo hayakuathiri wewe
 
Watu wanavaa tena huko kariakoo ndo wengi na hakuna anayewasumbua. Mbona tunawaona kila siku barabarani?
Sijasema hawavai, tatizo unakaza ubongo
 
Sasa unawachukia ili iweje?
Yaani unaumia kabisa 🤣🤣🤣
Unapata shida kwa matendo ya mwingine ambayo hayakuathiri wewe
Impact yake imenigusa ndio maana nikasema ni signal za kikundi, wewe vaa sijakukataza ila mke wangu nilishampiga marufuku na havai hata sasa
 
Sijasema hawavai, tatizo unakaza ubongo
Sijakaza popote.
Nilikuwa nakueleza kwamba kuvaa watavaa na wewe unavyowafikiria haina madhara yoyote kwao. Wao ndo wanajua kwanini wanavaa.
Umesema unawachukia sana ukiwaona, hapo ndipo niliposhangaa.
Ungesema hupendi mwanamke wako avae hivyo ungeeleweka.
 
Umesema unawachukia sana ukiwaona
Hakuna niliposema nawachukia itakua umechanga ID, mimi nimesema hizo ni signals

Natamani nikwambie ila basi acha nisikwambie tu, wewe baki kujua ni urembo ila usilolijua kuna kikundi kimesadifisha imekua ni zaidi ya urembo kwao sio kwako, kwako wewe ni urembo ila kwao wao ni signal/indicator
 
Hakuna niliposema nawachukia itakua umechanga ID, mimi nimesema hizo ni signals

Natamani nikwambie ila basi acha nisikwambie tu, wewe baki kujua ni urembo ila usilolijua kuna kikundi kimesadifisha imekua ni zaidi ya urembo kwao sio kwako, kwako wewe ni urembo ila kwao wao ni signal/indicator

Kama nimechanganya ID nisamehe kwa hilo.

Hizo maana unazozisema nazifahamu. Tangu zamani inasemekana hivyo. Lakini sio kweli...hizo tabia siku hizi zipo sana na wewe unajua zipo na wahusika hawavai vikuku.

Pia hizo signals zina maana hiyo kwa utamaduni wa kwako. Kuna jamii tofauti na kila moja ina tamaduni zake...zipo ambazo kwao haina maana hiyo ambayo unaijua wewe.
 
Pia hizo signals zina maana hiyo kwa utamaduni wa kwako. Kuna jamii tofauti na kila moja ina tamaduni zake...zipo ambazo kwao haina maana hiyo ambayo unaijua wewe.
Sawa mkuu, umeeleweka vizuri
 
Kipini utamaduni, nadhani tujifunze kuheshimu tamaduni za wengine bila kujali utamaduni huo unatafsiri gani katika jamii nyingine. Ila pamoja na yote mwili wa mwanamke ni pambo na mapambo ni sehemu ya urembo Kwa wanawake karibia wote.

Nadhani Kwa jamii za pwani wanawake wengi wasafi. Wanawake wanajua kuoga na kujiremba kuliko wanawake wengi wa bara.

Shida inakuja kwenye mazoea ya wanaume wengi wa bara na mfumo wao maisha na namna wanawake wake wao walivyo. Ni kweli watu wa bara ni washamba sana hilo halina ubishi,ndo washangae na kipini? 😃😃

Katika jamii yetu kipini ni sehemu ya urembo karibia Kila mwanamke ametoboa pua kuanzia vikongwe mpaka vigoli.

Shida ya watu wa bara wengi wao ni wachafu Sana halafu wanataka jamii yote iishi kama wao,kuchangamana na wanyama muda wote wanawake wenu wanapata wapi huo muda wa kuoga na kupendeza?
Umenena kweli...mwanamke wa bara huko atapata muda gani wa kujiremba wakati asubuhi akiamka anatakiwa akalishe majani ng'ombe na mbuzi huko bandani, kisha akamue maziwa..jioni ikifika anatakiwa aingie bandani tena akakamue maziwa ya ng'ombe...huo muda wa kutoga pua na kuvaa vikuku au kupaka piko na hina atautoa wapi??!


Mambo hayo mtuachie sisi watu wa pwani ambao wanawake kwetu ni pambo la nyumba. Saa kumi alasiri kashaoga ,kajipamba, kajifukiza udi katulia ndani kunisubiri mmewe nitoke katika mihangaiko yangu .

Nishakutana na wanawake kibao wanaovaa vikuku na hawatoi nyuma. Kwao vikuku ni mapambo tu kama mapambo mengine.
 
Mwanamke kujiremba ni wajibu labda kama huna mume!! Wewe jifabye hardcore uone kama hujakimbiwa.

Hakuna mwanaume anaependa mwanamke gangastar aka ngumu kumeza. Ukishaibiwa mume na hao wenye vipini ndio utakuja kuelewa haya ninayoyasema
Kijilemba sikatai, lkn kutoboa hapana

never.
 
Mwanamke kuvaa vikuku haimaanishi kuwa unafirwa , huo ni urembo tuliorithi kutoka mashariki ya kati na ya mbali. Wanawake wa kizungu wanafanya hiyo michezo na huwezi kukuta wamevaa vikuku kwa kuwa sio utamaduni wao wa urembo.

Mwanamke jipambe kwa mumeo. Hakuna mwanaume anayependa mwanamke ambaye yupoyupo tu. Inatakiwa uwe ni kiliwazo kwa mumeo, yale ambayo anayaona mchana kutwa katika mihangaiko yake basi aje ayakute ndani kwake ila akiyakosa jua kuwa atakwenda kuyatafuta nje.
Acha kutetea makahaba na malaya wa pwani na signal zao hizo za vikuku na kutoboa pua..wengine wameenda mbali zaidi kuchora tatoo..ni umalaya mtupu.

Kama tamaduni za waarabu ndio hizo basi ndio umalaya na ukahaba wenyewe huo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom