"Kipita kushoto" cha Msamvu ni kikubwa kuliko vyote Afrika Mashariki na Kati na mzani wa Dakawa-Dumila una eneo kubwa kuliko mizani yote Tanzania

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Kwa wale wasafiri mtakubaliana na Mimi juu ya andiko hili.

Keep left ya Msamvu ndio yenye kipenyo/mzingo mkubwa kuliko vyote East and Central Africa. Na mzani wa Dakawa-Dumila ndio wenye eneo kubwa sana kuliko mizani yote Tanzania. Una urefu wa almost km 1 na upana mkubwa sana huku ukirembwa na taa maridaaad.

Wasafiri wenzangu njooni mnikosoe au mkubaliane na mimi.

Superbug.

CC

Popoma GENTAMYCINE
 
Hivi ni kwanini unapenda sana Kujipendekeza / Kujikomba Kwangu Wewe Mpumbavu? Ni kwanini unapenda Kuwashwawashwa mno na Mimi hapa?
 
Hayo maeneo yaliyotajwa hapo hata huyajui wewe popoma mnyarwanda aka mlaban mwandamizi.
 
Kwa wale wasafiri mtakubaliana na Mimi juu ya andiko hili.

Keep left ya Msamvu ndio yenye kipenyo/mzingo mkubwa kuliko vyote East and Central Africa. Na mzani wa Dakawa-Dumila ndio wenye eneo kubwa sana kuliko mizani yote Tanzania. Una urefu wa almost km 1 na upana mkubwa sana huku ukirembwa na taa maridaaad.

Wasafiri wenzangu njooni mnikosoe au mkubaliane na mimi.

Superbug.

CC

Popoma GENTAMYCINE
Kuna mzani uko maeneo ya iringa nao ni mkubwa Kama huo wa dumila
 
Ausindile....

Everyday is Saturday............................ 😎
 
Watanzania kweli tumerogwa,ndio kenya wanatucheka na kutuchora tunapojiringanisha na wao kwenye maendeleo. Kama mambo yenyewe ndio haya ya kuringia hata vip-keep reft. Kweli hatuko serious
 
Back
Top Bottom