Kiporo kipi kitamu zaidi?

Kwa wale wenzangu Wa mndenyi upate Shiro asubuhi na chai ya maziwa si mchezo
 
Mhh kipolo wali maharage😉😱😱....nakumbuka primary kuna dogo alikuwa anapenda sana....ila sometimes hatukuwa na amani coz alikuwa anajamba hatar😀😀
 
Kiporo Cha wali harage liwe soya na chai ya maziwa yenye kaharufu Cha mchaichai..[emoji39][emoji39][emoji39]

Poro la wali kisamvu kilichokolea Nazi na nyanya chungu na kichai chenye mchaichai..hatareee

Kiporo Cha wali njegere ..jamani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…