Kiporo kipi kitamu zaidi?

Kiporo kipi kitamu zaidi?

hiki..nashushia na maji ya baridi. [emoji23][emoji23][emoji23]
20191129_120506.jpeg
 
Kwa wale wenzangu Wa mndenyi upate Shiro asubuhi na chai ya maziwa si mchezo
 
Mhh kipolo wali maharage😉😱😱....nakumbuka primary kuna dogo alikuwa anapenda sana....ila sometimes hatukuwa na amani coz alikuwa anajamba hatar😀😀
 
Kiporo Cha wali harage liwe soya na chai ya maziwa yenye kaharufu Cha mchaichai..[emoji39][emoji39][emoji39]

Poro la wali kisamvu kilichokolea Nazi na nyanya chungu na kichai chenye mchaichai..hatareee

Kiporo Cha wali njegere ..jamani..
 
Back
Top Bottom