colin_morgan
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 2,443
- 2,912
Hivi ulishawahi kula kiporo cha wali mseto na mchuzi wa pweza na chai ya maziwa kweli wewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmhh sijawahi aseeHivi ulishawahi kula kiporo cha wali mseto na mchuzi wa pweza na chai ya maziwa kweli wewe?
😘wacha wee
Kitamu nacho ila mimi si mpenzi saana wa njegere yaani njegere na maharage bora maharage,.napenda njegere ninogeshee kwenye nyama,maini,wali,pilau au ndizi hivyo na sio kuzifanya zenyewe kama mboga kamiliWali njegere za nazi [emoji1476][emoji1476]
Tuko pamojaMakande
😋😋😋Kitamu sanaKiporo cha kisamvu
Nilisahau kupiga kilivyo kitam, nimekumbuka nishamaliza kila kitu kwenye sahaniPicha hamna?
Try it, you will definitely like itHapana
Ntajaribu kuyapika makande ya karangaKiporo cha makade yaliyochanganywa karanga na njugu.
Kizuri ukile bila kupasha ile saa kumi na moja alfajiri kikiwa cha baridi kinakuwa kitamu mpaka unakisikilizia kwenye vidole vya miguu.
Acha kufananisha kiporo cha wali maharage na vitu vya kijinga.