Kiranga alikuwa anasali Kanisa Katoliki. Ilikuwaje akaanza kuamini hakuna Mungu?

Kwa vile mara zote unadai uthibitisho, haya yote umeyasema kwa uthibitisho upi (mfano, kwamba 'time is fundamentally relative and even an illusion')?
 
Mkuu sijajua ni kua hauelewi concept ya hoja yangu kwa bahati mbaya au unakwepa kimakusudi...

Nimesema hivi, swala la mtu kufanya mema linaangaliwa kwa jinsi maandiko ambavyo yameruhusu au kukataza hilo jambo.

Maandiko yameweka katazo kwa mambo fulani yasifanywe kwasababu ni ni dhambi na utachomwa moto, na pia yapo mema ya kumpendeza mungu ambayo umeruhusiwa kuyafanya ambayo utakuwa awarded.

Sasa kuna maagizo fulani mungu kasema ukiyafanya ni dhambi, halafu upande wa pili kuna maandiko mengine mungu huyo huyo kasema jambo hilo sio dhambi. Sasa imetokea mtu amefanya jambo hilo, mtu huyo atakua ametenda dhambi au kafanya jambo jema lililo ruhusiwa na mungu?

Mtu anatakiwa afuate maagizo ya mungu kupitia maandiko gani?

Na huyo mungu atamuhukumu mtu kwa kufata/kutofuata sheria alizoziweka kwenye maandiko gani?
 
Ungekuwa unayataja hayo maandiko inakuwa rahisi kuona context, sasa wewe unasema jumlajumla na unataka ukisema kitu jumlajumla mimi niewe exactly what you mean or refer to. Is it possible?
 
ushuhuda wa watu mbalimbali (kwa upande wa imani na hata proofs of God's existence by various philosophers and theologians)
unathibitishaje kujua huu ni ushuhuda kweli na sio scripts?
 
Ungekuwa unayataja hayo maandiko inakuwa rahisi kuona context, sasa wewe unasema jumlajumla na unataka ukisema kitu jumlajumla mimi niewe exactly what you mean or refer to. Is it possible?
nitajie maandiko ambayo unayakubali nikuoneshe context
 
Onyesha ambapo sijathibitisha.
kwasababu hujathibitisha kua ni neno lake kweli, na sio kwamba ni habari za kugushi tu

Nikikuambia uthibitisho wa kuonesha spiderman yupo kihalisia ni kupitia kitabu chake, hapo nitakua nimethibitisha spiderman yupo?

Hapo nitakua nimethibitisha kua kitabu hicho kimesema ukweli?
 
Kwa vile mara zote unadai uthibitisho, haya yote umeyasema kwa uthibitisho upi (mfano, kwamba 'time is fundamentally relative and even an illusion')?
Ukisoma Albert Einstein's Relativity utaona the passage of time is a function of velocity/ gravity and frame of reference.

As one approaches the speed of light, the passage of time approaches zero, that is, the passage of time approaches a standstill.

For any massive object, this reaching the speed of light is an impossibility, because the closer one gets to the speed of light, the closer ro infinity energy will be needed to move even the most minute distance.

But, for things like photons, time does not exist. A ray of light does not experience time per Relativity.From its perspective, it exists at all points on its way at the same time, that is, time is singular, not divided into past, present and future, just present.

The proof of this is in experiments done to measure time dilation, that is, how much velocity slows down the passage of time.

For more read about this experiment that measured time dilation.


Ukiwa na point za kubisha usinibishie mimi tu, chapisha kwenye Physics Journal la kutambulika um prove Einstein wrong.

Nakuhakikishia ukifanikiwa utatutoa kidedea kwa kupata nishani ya Nobel ya Physics.

Wasomi wa Physics wamekuwa wakijaribu kum prove Einstein wrong kwa miaka 100 iliyopita bila kufanikiwa.
 
Kwa hiyo, wakitokea watu wengine ku'challenge' hii theory, then ushahidi wako hauna nguvu tena?
 
Mhu!
 
Kwa hiyo, wakitokea watu wengine ku'challenge' hii theory, then ushahidi wako hauna nguvu tena?
Kwa nini unasema wakitokea watu wengine ku challenge wakati watu wamekuwa waki challenge kwa miaka 100 iliyopita na mpaka leo wana challenge, na wataendelea ku challenge?

Wa challenge wapi? Vipi?

Unaelewa maana ya ku challenge ni nini?
 
Kwa nini unasema wakitokea watu wengine ku challenge wakati watu wamekuwa waki challenge kwa miaka 100 iliyopita na mpaka leo wana challenge, na wataendelea ku challenge?

Wa challenge wapi? Vipi?

Unaelewa maana ya ku challenge ni nini?
Kwani maana ya kuchallenge ni kwa miaka 100 tu (kama walivyofanya hao) na haiwezekani wakatokea wengine waka'challenge' na kubadili mwelekeo kabisa na kuonekana theory ya Einstein haina mashiko tena? Unadhani ni wewe tu unaweza kutumia maneno kwa usahihi?
 

Wapi nimesema.ni mimi tu naweza kutumia maneno kwa usahihi?

Hii inferiority complex inatokana na nini?

Wa challenge wapi, vipi? Be specific olease so we know your argument has merit and is not obscurantist bullshit.

Wakitokea watu ku challenge successfully kwamba wewe hujawahi kuzaliwa na ni software tu ya kwenye computer utasemaje?

Ukianza speculations hivyo, hakuna mwisho wa maswali unayoweza kuuliza.

By the way, naweza kukuuliza hivyohivyo kuhusu uwepo wa Mungu, atheists wakiweza kuonesha dunia kwamba Mungu hayupo utasemaje?

By the way, watu wanaweza challenge Einstein's Relativity succesfully na time ikabaki kuwa illusion kwa sababu ya Quantum Physics.
 
Wa challenge wapi, vipi? Be specific olease so we know your argument has merit and is not obscurantist bullshit.

Then, you've made this guy your god. Aren't you?
Nikisoma between the lines nadhani una tatizo fulani ambalo hujafanikiwa kulitatua wewe mwenyewe au na mtu mwingine na ndilo linalokufanya u'behave' namna hii. Una aina fulani ya arrogance ambayo sijui unataka kupata nini - kushinda mjadala at all costs? Kama ni hivyo, inatosha tu kutumia lugha inayoshawishi (persuasive) na siyo kulazimisha hoja na kila mara uonyeshe kuwa wengine tu ndiyo wasioelewa maneno unayotumia, wana hoja ambazo ni "obscurantist bullshit" and the like. Mara nyingi najizuia sana kutumia aina ileile ya lugha ya kuudhi kwa sababu si tabia yangu kufanya hivyo, lakini kusema kweli unakera sana! Una 'tendency' ya kulazimisha kwa wengine unachoona ni sahihi. Kama kwenye mtandao tu uko hivi, itakuwaje kwa wale unaoishi nao, unaofanya nao kazi au unaokutana nao? I'm sure, it's hell!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…