Umejibu sawa sawa. Hivyo basi hana shaka na nitakachofanya mwaka 2030, na dhambi nitakazokuwa nazo wakati nakufa? Si ndio?Mungu amekiona kwasababu amekuona ukifanya. Hata akirudi mwaka 2000 leo hii atakuwa anakuona ukifanya. Ndivyo hivyo atakuona ukifanya mwaka 2040. Na yote haya anayaona saa hivi.
Hapana inatakiwa utambue Mungu hausuki na maovu...Matatizo yote unayoyaona hapa duniani yamesababishwa na Binadamu baada ya kushawishiwa na shetani.kwa nini mungu hakuzuia kabla ya tendo kutendela si alijua lwamba watakwenda kuasi
Vizuri sana unajileta mwenyewe.Ndio, ukiwa unafanya anakuona. Hivyo anakuona na kujua mwisho wako.
Huelewi logical consistency ni nini?Nimekupa sababu moja tu ya moral law umekaa kimya.
Logical consistency ni nini?
Anayoyaona ni uhakika kwa kadiri ya uchaguzi wako. Anakuona kwa namna unavyofanya uchaguzi wa maisha gani uishi.Vizuri sana unajileta mwenyewe.
Hivyo hategemei nifanye tofauti na alichokiona maana bila shaka anayoyaona ni ya uhakika.
Sasa huo uhuru unanisaidia nini ikiwa nitakachoenda kufanya ashakiona hata kabla hajaniumba? Maana alichokiona kuwa nirafanya hakiwezi kubadilika. Kikibadilika basi bila shaka atakuwa sio mjua yote alishndwa kujua ya baadae juu yangu.
Hapo ndipo swali lilipo, huo uhuru gani ulionao wakati kabla hajakuumba alijua utampinga na bado akakuumba na inasemekana amekupa uhuru wakati anajua wazi kuwa huwezi kuutumia kufanya tofauti na alichokwisha kiona? So alikuumba akijua utamkosea halafu akupunish, same logic ina apply kwa akina adam na eve kumbe alijua watamkosea tu.Unajua tricky Iko wapi? Leo hii ukiamua kubadilika na kumtambua na kumfuata ndio exactly alichokiona tangu unazaliwa. Vivyo hivyo ukiwa unaendelea kumpinga saa hizi kwa uhuru ulionao ndio exactly alichokiona tangu unazaliwa.
lakini mkuu mungu anawezesha kila kituMungu anao uhuru wa kuchagua afanye nini juu ya kile anachomiliki ikiwa ni pamoja na wanadamu.
Mungu hakuadhibu bali anakupa sawasawa na jinsi ulivyochagua. Ameelekeza mamna ya kufanya ili usikutane na matokeo usiyoyapenda.
Amesharekebisha ni wewe tu kuchagua. Atauondoa uovu na makosa yote katika ulimwengu ujao.
Kumbuka anajua kwasababu yeye anakuona ukiwa unafanya. Sio kwamba amekuweka kama program ambayo lazima iwe alivyoiweka. Anakuona unavyotumia uhuru wako.Hapo ndipo swali lilipo, huo uhuru gani ulionao wakati kabla hajakuumba alijua utampinga na bado akakuumba na inasemekana amekupa uhuru wakati anajua wazi kuwa huwezi kuutumia kufanya tofauti na alichokwisha kiona?
Haifuti kuwa huko kukuona ukiwa unafanya anakuona kabla hajakuumba... Hivyo anamalizia kwa kukuumba ukamalizie alichokiona ili aje akuadhibu.Kumbuka anajua kwasababu yeye anakuona ukiwa unafanya. Sio kwamba amekuweka kama program ambayo lazima iwe alivyoiweka. Anakuona unavyotumia uhuru wako.
Mungu amekuwezesha kufuata maelekezo yake. Ni wapi Mungu anakuwezesha kufanya dhambi?lakini mkuu mungu anawezesha kila kitu
kwa nini aniadhibu kwa kufanya dhambi
wakati kaniwezesha kuifanya dhambi?
aana anasema hakuna kitu kimachofanyika bila uwepo wake
Lakini utakuwa umefanya kwa uhuru wako kwasababu yeye anakuona sawasawa na unavyochagua kuishi.Haifuti kuwa huko kukuona ukiwa unafanya anakuona kabla hajakuumba... Hivyo anamalizia kwa kukuumba ukamalizie alichokiona ili aje akuadhibu.
Hiyo ina maana anaruhusu ubaya utokee, maana alimuona shetani kabla hajamrubuni mwanadamu, na bado akamuumba na kumpa uwezo mkubwa sana wakumrubuni mwanadamu. Halafu mwisho wa siku akamuadhibu mwanadamu akiyemuumba akijua atarubuniwa na shetani aliyemuumba yeye.Lakini utakuwa umefanya kwa uhuru wako kwasababu yeye anakuona sawasawa na unavyochagua kuishi.
Pia kumbuka Mungu anamiliki dunia na kila kitu ndani yake hivyo anao uhuru wa kuchagua nini afanye na nini asifanye.
Kwasababu wewe unaamini uwepo wa Mungu then ni rahisi sana. Kwenye haya maswali ambayo bado yanakutatiza, muombe akupe ufahamu wa kuyaelewa.Hiyo ina maana anaruhusu ubaya utokee, maana alimuona shetani kabla hajamrubuni mwanadamu, na bado akamuumba na kumpa uwezo mkubwa sana wakumrubuni mwanadamu. Halafu mwisho wa siku akamuadhibu mwanadamu akiyemuumba akijua atarubuniwa na shetani aliyemuumba yeye.
My head is spinning.
Anyway kwa kifupi mimi si kwamba siamini kama Mungi hayupo, ila mimi nina imani yangu binafsi juu yake ambayo haifanani na ya dhehebu lolote.
Jaribu kusoma na Biblia Mkuu kuna kitu utakipata..Japo haupo pabayaHiyo ina maana anaruhusu ubaya utokee, maana alimuona shetani kabla hajamrubuni mwanadamu, na bado akamuumba na kumpa uwezo mkubwa sana wakumrubuni mwanadamu. Halafu mwisho wa siku akamuadhibu mwanadamu akiyemuumba akijua atarubuniwa na shetani aliyemuumba yeye.
My head is spinning.
Anyway kwa kifupi mimi si kwamba siamini kama Mungi yupo, ila mimi nina imani yangu binafsi juu yake ambayo haifanani na ya dhehebu lolote.
Mnatiki isiyojipinga.Naomba uniambie wewe ili tuwe page moja.
Biblia ina contradictions kibao, na hivyo si kitabu cha authority kwa watu wanaotumia mantiki.Jaribu kusoma na Biblia Mkuu kuna kitu utakipata..Japo haupo pabaya
Yesu alisema hata ukiwa na imani ndogo mithili ya mbegu unaweza kuamuru mlima ung'oke na ujitose baharini na ukatii.
Thibitisha ili tujue Mungu yupo kweli na habari za kuwepo kwake si hadithi za watu tu.Nithibitishe ili iweje? so what? What purpose does it serve?
Thibitisha wewe ni mwanamke!
kwani mungu haruhusu mabaya!!Lakini utakuwa umefanya kwa uhuru wako kwasababu yeye anakuona sawasawa na unavyochagua kuishi.
Pia kumbuka Mungu anamiliki dunia na kila kitu ndani yake hivyo anao uhuru wa kuchagua nini afanye na nini asifanye.