KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Baada ya kusoma nyuzi kadhaa humu hususani ktk hii wiki kwenye jukwaa letu hili, nyuzi nyingi zimekuwa zikifunguliwa na wanaume zikizungumzia juu ya wanawake na pesa!. Kila nikifungua hili jukwaa ni wanawake na pesa!.
Nikaona isiwe tabu Wacha niwe Albert Einstein kwenye hili!,niketi chini niwaze niwazue nije na mbadala ama majibu ya nini kifanyike au any formula ya kurekebisha hili!.. nikaanza kuwaza kwanza kwa kuangalia historia ya mwanamke toka kwenye biblia nikamaliza nikaanza ifatilia pesa historia yake.
Mawazo mengine yakawa yakuhuzunisha na mengine yakufurahisha mpaka nikaanza kuhisi njaa!. Nikala nikashiba nikaendelea kichwa kikaanza niuma nikanywa Panadol hapo nikachukua na note book nianze kuandika!. Kufanya hivyo ndo nikawa kama nimechokoza nyuki kichwa kikaanza niuma kwa mapigo kama napigwa na nyundo!.
Lakini sikuchoka, nikaendelea baadae ya masaa kama ma nne hivi from no where nikapoteza fahamu!,nakuja kushituka najikuta nimemwagiwa maji nimelowa tepetepe!,wananiambia nimezimia kwa masaa matatu!.
Shukurani zangu kwa waliofanya jitihada za kunizindua maana bila wao sijui ingekuwaje!.
Kiranga chote kimeniisha na nimejua ukitaka kumtenganisha mwanamke na hela lolote linaweza kukuta!,hivyo basi hicho ni kitu kisichotenganishwa!. Kwahiyo ndugu zanguni tutafute hela tu hakuna namna ya kulikimbia hili.
Niwatakie siku njema isiyo na manung'uniko.