Hahaha,nitakisoma je maswali yangu nikikuuliza baada ya kukisoma utayajibu ?Soma kitabu, nikikuambia mimi nitaharibu maneno au kukudanganya.
Kama hujui Kiingereza, hilo ni tatizo lako, si langu.
hahaha illmradi tu server ijae " ma mods nao wapate kulipwa mishahara kiuhalaliHatimaye thread nyingine imeanzishwa leo!
HahahaNakuja ......
Bro mbona unacheka tena ? Humu nimesharudi mzee,tunaendeleza ada zetu ...Hahaha
Hahaa Nimecheka tu ili namimi nisione kane kuwa sijui kikristuKiranga is a singularity, do not transgress grotesquely by misanalogizing him.
You will need to reconcile Einstein's Relativity with Quantum Physics, and divide the resultant solution by zero, and advance to a Type V civilization on the Kardashev scale to gather the wattage needed to decipher the encryption and access the essence of His Kiranganess
Bado unagawanya kwa sifuri au umeacha siku hizi?Kaka humu nimeona watu wengi hawana ufahamu juu ya maana ya maneno mengi sana. Kwa kuwa wajinga juu ya maana ya maana ya maneno fulani,katika mjadala unakuta neno linageuka kuwa mada pweke ndani ya mada mama.
Mfano hili tamko la AKILI litageuka kuwa mada muda wowote humu,mathalani jana kwenye mada ya Kiranga kuhusu Stephen Hawking,tamko dogo sana la kuhusu maana ya "UKWELI" iligeuka mada kwa mtu niliyemuuliza na mwisho wake nika achana nae. Nikaona nikiendelea kujadiliana nae sitafaidika kwa lolote zaidi ya kupoteza.
Hili ni tatizo kubwa sana,ambalo huwafanya watu kuendelea kuishi katika UJINGA.
Nipo ......
hahaaNaam.
Ndiyo maana nimetoa somo la Kardashev scale wasioijua waijue.
Thread ya shobo inageuzwa darasa.
baada ya kuona ile statement yako uliyosema nitarudi .... nikajikuta natamka ..KUMEKUCHA League inaanza.. that's why nikacheka broBro mbona unacheka tena ? Humu nimesharudi mzee,tunaendeleza ada zetu ...
Hili ndio tatizo lenu bro,na ninapisema nyinyi mna matatizo ya AKILI huwa siwadhulumu mzee.Bado unagawanya kwa sifuri au umeacha siku hizi?
Tuko pamoja kaka mkubwa .....baada ya kuona ile statement yako uliyosema nitarudi .... nikajikuta natamka ..KUMEKUCHA League inaanza.. that's why nikacheka bro
sawa ".. mimi naagiza popcorn hapa ". endeleeni kuleta nondo ".... na subscribe mwanzo mwishoTuko pamoja kaka mkubwa .....
We mzee bhana kwahyo jamaa hasipoelewa wewe haikuhusuSoma kitabu, nikikuambia mimi nitaharibu maneno au kukudanganya.
Kama hujui Kiingereza, hilo ni tatizo lako, si langu.
Hawa ni wagonjwa wa akili na dawa zipo ni wao tu kuamua kuzitumia dawa.We mzee bhana kwahyo jamaa hasipoelewa wewe haikuhusu
Tatizo umejivika kujua habari za kitabu ambacho hata hujakisoma wala huna uwezo wa kukisoma.Hahaha,nitakisoma je maswali yangu nikikuuliza baada ya kukisoma utayajibu ?
Unajua kuna mambo mengine kwa jinsi yalivyo mepesi na ukomo mfupi sana huwa tunajua hatima yake au kilichomo ndani kabla hata kukisoma kama hivi hichi kitabu,sio kwamba nimeona yaliyofichikana,la hasha sababu naiujua misingi yenu ilipo mili.
Nipo ....
Sasa mazee mimi nikitaka kumuelewesha kila mjinga anayeukumbatia ujinga wake kwa tabia tu, na mimi nitajiendeleza saa ngapi nijue zaidi ya hapa ninapojua sasa?We mzee bhana kwahyo jamaa hasipoelewa wewe haikuhusu
Unakosea mkuu yaani umejirizisha kwamba mkuu ana ugonjwa wa Akili, si kweliHawa ni wagonjwa wa akili na dawa zipo ni wao tu kuamua kuzitumia dawa.
Hawa jamaa wangekuwa wana uwezo wa kujibu maswali,na kuukubali ukweli wasingekuwepo katika ulimwengu huu.
Hawa miongoni mwa misingi yao ni kusema uongo.....
Nipo .....
Kiranga ana ugonjwa wa AKILI pamoja na wakubwa zake waliomtangulia katika imani hii ....Unakosea mkuu yaani umejirizisha kwamba mkuu ana ugonjwa wa Akili, si kweli
Jamaa IQ yake kubwa sana tema mate chini mkuu
Halafu suala la IQ kwangu mimi ni makapi tu yasiyokuwa na tija yoyote kama vile ilivyo elimu ya Falsafa na Mantiki.Unakosea mkuu yaani umejirizisha kwamba mkuu ana ugonjwa wa Akili, si kweli
Jamaa IQ yake kubwa sana tema mate chini mkuu
Kweli kabisa umejitahid sana umeonyesha dhahiri kwenye hii JF kwamba wewe ni muungwana umempa mpaka kitabu bure kabisaSasa mazee mimi nikitaka kumuelewesha kila mjinga anayeukumbatia ujinga wake kwa tabia tu, na mimi nitajiendeleza saa ngapi nijue zaidi ya hapa ninapojua sasa?
Dah, halafu mtu asivyo na shukurani, hata kushukuru kwa jitihada zangu tu hashukuru.Kweli kabisa umejitahid sana umeonyesha dhahiri kwenye hii JF kwamba wewe ni muungwana umempa mpaka kitabu bure kabisa