Kiranga, Mshana na Likud ni ndugu sema hawajuani tu

Kiranga, Mshana na Likud ni ndugu sema hawajuani tu

Soma kitabu, nikikuambia mimi nitaharibu maneno au kukudanganya.

Kama hujui Kiingereza, hilo ni tatizo lako, si langu.
Hahaha,nitakisoma je maswali yangu nikikuuliza baada ya kukisoma utayajibu ?

Unajua kuna mambo mengine kwa jinsi yalivyo mepesi na ukomo mfupi sana huwa tunajua hatima yake au kilichomo ndani kabla hata kukisoma kama hivi hichi kitabu,sio kwamba nimeona yaliyofichikana,la hasha sababu naiujua misingi yenu ilipo mili.

Nipo ....
 
Kiranga is a singularity, do not transgress grotesquely by misanalogizing him.

You will need to reconcile Einstein's Relativity with Quantum Physics, and divide the resultant solution by zero, and advance to a Type V civilization on the Kardashev scale to gather the wattage needed to decipher the encryption and access the essence of His Kiranganess

KardashevScale_v8-1200x6084.jpg
Hahaa Nimecheka tu ili namimi nisione kane kuwa sijui kikristu
 
Kaka humu nimeona watu wengi hawana ufahamu juu ya maana ya maneno mengi sana. Kwa kuwa wajinga juu ya maana ya maana ya maneno fulani,katika mjadala unakuta neno linageuka kuwa mada pweke ndani ya mada mama.

Mfano hili tamko la AKILI litageuka kuwa mada muda wowote humu,mathalani jana kwenye mada ya Kiranga kuhusu Stephen Hawking,tamko dogo sana la kuhusu maana ya "UKWELI" iligeuka mada kwa mtu niliyemuuliza na mwisho wake nika achana nae. Nikaona nikiendelea kujadiliana nae sitafaidika kwa lolote zaidi ya kupoteza.

Hili ni tatizo kubwa sana,ambalo huwafanya watu kuendelea kuishi katika UJINGA.

Nipo ......
Bado unagawanya kwa sifuri au umeacha siku hizi?
 
Bro mbona unacheka tena ? Humu nimesharudi mzee,tunaendeleza ada zetu ...
baada ya kuona ile statement yako uliyosema nitarudi .... nikajikuta natamka ..KUMEKUCHA League inaanza.. that's why nikacheka bro
 
Bado unagawanya kwa sifuri au umeacha siku hizi?
Hili ndio tatizo lenu bro,na ninapisema nyinyi mna matatizo ya AKILI huwa siwadhulumu mzee.

Hivi mtu akikiri kama jambo fulani amekosea kuna haja ya kuendelea kulizungumzia ?

Yaani tatizo wakubwa wenu walikosa misingi na adabu za elimu ndio maana majengo yao hayakuimarika zaidi ya ubabaishaji tu.

Nipo,mzee huwa tunaambiwa hivi "Kujua kama hujui ni ishara ya kuwa na elimu ...."

Nipo ....
 
We mzee bhana kwahyo jamaa hasipoelewa wewe haikuhusu
Hawa ni wagonjwa wa akili na dawa zipo ni wao tu kuamua kuzitumia dawa.

Hawa jamaa wangekuwa wana uwezo wa kujibu maswali,na kuukubali ukweli wasingekuwepo katika ulimwengu huu.

Hawa miongoni mwa misingi yao ni kusema uongo.....

Nipo .....
 
Hahaha,nitakisoma je maswali yangu nikikuuliza baada ya kukisoma utayajibu ?

Unajua kuna mambo mengine kwa jinsi yalivyo mepesi na ukomo mfupi sana huwa tunajua hatima yake au kilichomo ndani kabla hata kukisoma kama hivi hichi kitabu,sio kwamba nimeona yaliyofichikana,la hasha sababu naiujua misingi yenu ilipo mili.

Nipo ....
Tatizo umejivika kujua habari za kitabu ambacho hata hujakisoma wala huna uwezo wa kukisoma.

Kiingereza tunakuita "incurious". Huna utashi.

Hii ni tabia kubwa sana ya watu wajinga.
 
Hawa ni wagonjwa wa akili na dawa zipo ni wao tu kuamua kuzitumia dawa.

Hawa jamaa wangekuwa wana uwezo wa kujibu maswali,na kuukubali ukweli wasingekuwepo katika ulimwengu huu.

Hawa miongoni mwa misingi yao ni kusema uongo.....

Nipo .....
Unakosea mkuu yaani umejirizisha kwamba mkuu ana ugonjwa wa Akili, si kweli
Jamaa IQ yake kubwa sana tema mate chini mkuu
 
Unakosea mkuu yaani umejirizisha kwamba mkuu ana ugonjwa wa Akili, si kweli
Jamaa IQ yake kubwa sana tema mate chini mkuu
Halafu suala la IQ kwangu mimi ni makapi tu yasiyokuwa na tija yoyote kama vile ilivyo elimu ya Falsafa na Mantiki.

Una hoja dhidi yangu ?
 
Sasa mazee mimi nikitaka kumuelewesha kila mjinga anayeukumbatia ujinga wake kwa tabia tu, na mimi nitajiendeleza saa ngapi nijue zaidi ya hapa ninapojua sasa?
Kweli kabisa umejitahid sana umeonyesha dhahiri kwenye hii JF kwamba wewe ni muungwana umempa mpaka kitabu bure kabisa
 
Kweli kabisa umejitahid sana umeonyesha dhahiri kwenye hii JF kwamba wewe ni muungwana umempa mpaka kitabu bure kabisa
Dah, halafu mtu asivyo na shukurani, hata kushukuru kwa jitihada zangu tu hashukuru.

Ananiambia anaweza kujua kilicho katika kitabu bila hata kukisoma.

No wonder anaamini mambo ya ajabu!
 
Back
Top Bottom