Kiranga, Mshana na Likud ni ndugu sema hawajuani tu

Halafu suala la IQ kwangu mimi ni makapi tu yasiyokuwa na tija yoyote kama vile ilivyo elimu ya Falsafa na Mantiki.

Una hoja dhidi yangu ?
Ukiwa na maana kwamba hauamini katika uwepo wa IQ? ??
 
Halafu suala la IQ kwangu mimi ni makapi tu yasiyokuwa na tija yoyote kama vile ilivyo elimu ya Falsafa na Mantiki.

Una hoja dhidi yangu ?
Mkuu wewe suala lenye tija kwako huwa ni nini?
 
Akili ni nini? Je akili IPO au haipo
Kitu kisichokuwepo huwezi kukizungumzia bro. Ndio maana hata kina Kiranga hawawezi kumzungumzia Mola muumba wa ardhi na mbingu na vyote vilivyomo sababu wao wanaa amini hayupo kwa ujinga wao wenyewe.

Kwa ufupi AKILI ipo ndio maana tunaweza kuizungumzia.

Hapa inabidi unielewe vizuri na ukinielewa vibaya nitakurekebisha ....
 
Kwahiyo mjinga hatakiwi kuwajuwa wasomi
Hapa umenielewa vibaya sio kwamba hatakiwi bali hana uwezo wa kuwatambua wasomi kina nani. Ila akieleweshwa kwa kupewa elimu atawajua wasomi kina nani.

Huwa inasemwa,"Ukiijua haki,basi utawajua wenye haki kina nani". Hapa nazungumzia Elimu na umuhimu wake,na kinyume cha Elimu ni Ujinga.

Nipo .....
 
Ujinga wao. Ujinga ni nini?

Bado hujanijibu akili ni nini?
 
Ndugu kiranga sizani kama watu tumekuelewa
Lugha uliyo itumia siyo ya nchi hii
 
Hahah!, Dogo bhanaa! 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…