Kiranga, Mshana na Likud ni ndugu sema hawajuani tu

Kiranga, Mshana na Likud ni ndugu sema hawajuani tu

Halafu suala la IQ kwangu mimi ni makapi tu yasiyokuwa na tija yoyote kama vile ilivyo elimu ya Falsafa na Mantiki.

Una hoja dhidi yangu ?
Ukiwa na maana kwamba hauamini katika uwepo wa IQ? ??
 
Halafu suala la IQ kwangu mimi ni makapi tu yasiyokuwa na tija yoyote kama vile ilivyo elimu ya Falsafa na Mantiki.

Una hoja dhidi yangu ?
Mkuu wewe suala lenye tija kwako huwa ni nini?
 
Akili ni nini? Je akili IPO au haipo
Kitu kisichokuwepo huwezi kukizungumzia bro. Ndio maana hata kina Kiranga hawawezi kumzungumzia Mola muumba wa ardhi na mbingu na vyote vilivyomo sababu wao wanaa amini hayupo kwa ujinga wao wenyewe.

Kwa ufupi AKILI ipo ndio maana tunaweza kuizungumzia.

Hapa inabidi unielewe vizuri na ukinielewa vibaya nitakurekebisha ....
 
Kwahiyo mjinga hatakiwi kuwajuwa wasomi
Hapa umenielewa vibaya sio kwamba hatakiwi bali hana uwezo wa kuwatambua wasomi kina nani. Ila akieleweshwa kwa kupewa elimu atawajua wasomi kina nani.

Huwa inasemwa,"Ukiijua haki,basi utawajua wenye haki kina nani". Hapa nazungumzia Elimu na umuhimu wake,na kinyume cha Elimu ni Ujinga.

Nipo .....
 
Kitu kisichokuwepo huwezi kukizungumzia bro. Ndio maana hata kina Kiranga hawawezi kumzungumzia Mola muumba wa ardhi na mbingu na vyote vilivyomo sababu wao wanaa amini hayupo kwa ujinga wao wenyewe.

Kwa ufupi AKILI ipo ndio maana tunaweza kuizungumzia.

Hapa inabidi unielewe vizuri na ukinielewa vibaya nitakurekebisha ....
Ujinga wao. Ujinga ni nini?

Bado hujanijibu akili ni nini?
 
Kiranga is a singularity, do not transgress grotesquely by misanalogizing him.

You will need to reconcile Einstein's Relativity with Quantum Physics, and divide the resultant solution by zero, and advance to a Type V civilization on the Kardashev scale to gather the wattage needed to decipher the encryption and access the essence of His Kiranganess

KardashevScale_v8-1200x6084.jpg
Ndugu kiranga sizani kama watu tumekuelewa
Lugha uliyo itumia siyo ya nchi hii
 
Aman iwe nanyi kuna hawa washikaji kiranga, Likud na mshana. Hawa jamaa baba yao ni mmoja nahis hata mama yao atakuwa ni mmjo sema tu hawajuan

Kwanza sijawah kuwaelewa hata siku moja
Japo kiranga anaonekana kuwa MTU mwenye akili nyingi sana ambazo hazipimiki

Mshana hasomek yupo upande upi japo hukwama kwa kaka yake kiranga

Likud huyu sijui ni mjuu Wa mwanamalunde sijui ni mjukuu Wa bibi fisi yaan hata sielewagi kabisa aisee

Yote kwa yote hawa jamaa baba yao ni mmoja

LIKUD Kiranga Mshana Jr

Hahah!, Dogo bhanaa! 😁
 
Back
Top Bottom