Kiranga, Mshana na Likud ni ndugu sema hawajuani tu



Jibu lake sasa!!!
AMa kweli wewe ni Singularity! 😁
Hii nzuri tho, I'll check it out...

By the way what do you think of Neil D.G. Tyson. Any suggestions?!
 
Ndugu kiranga sizani kama watu tumekuelewa
Lugha uliyo itumia siyo ya nchi hii
Thread za shobo kama hizi ndivyo zinavyotaka.

Shombo la shobo Bobohataki zogo
Jogoo Jaja Opobo wa kibongo
Jibu lake sasa!!!
AMa kweli wewe ni Singularity! 😁
Hii nzuri tho, I'll check it out...

By the way what do you think of Neil D.G. Tyson. Any suggestions?!
We ulishaniambia una bonge la crush naye unatafuta mpaka tiketi za kwenda kwenye talks zake.

He is very intelligent, I know that's your type hahaaaa.

Unafikiri nimesahau?
 
..
We ulishaniambia una bonge la crush naye unatafuta mpaka tiketi za kwenda kwenye talks zake.

He is very intelligent, I know that's your type hahaaaa.

Unafikiri nimesahau?


Hahaha!, OMG!

Una kumbukumbu haki wewe!!!😁😂😂
 
Thread za shobo kama hizi ndivyo zinavyotaka.

Shombo la shobo Bobohataki zogo
Jogoo Jaja Opobo wa kibongo..


😁 I wish thread zote za kishobo zingekuwa zinageuzwa hivi!
 
Hujakiri umefanya kosa mpaka ukiri huwezi kuthibitisha Mungu yupo, kwa sababu hayupo.
 
Pembetatu ambayo hapo hapo ni duara ipo au haipo katika Euclidean geometry?
 
Una akili mpaka unakera
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii tabia ya kuandika vilugha vigumu utaacha lini?
Ulitusomesha ?
Sisi wazalendo tunajivunia matunda ya skuli zetu hapa bongoland
Kiranga msalimie swahiba wangu Al watan mwambie market makers wananila za uso siku hizi sijui nakosea wapi mie!
Akiwa free anicheki anipe tutorials maana hizi za uso za sasa sio kawaida kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…