[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tobaaaaaaaaaaaa!!!!!
Mshana Jr njoo umchukue ndugu yako huku.
Mekumishyii
nimekumiss pia my love,Mekumishyii
Aman iwe nanyi kuna hawa washikaji kiranga, Likud na mshana. Hawa jamaa baba yao ni mmoja nahis hata mama yao atakuwa ni mmjo sema tu hawajuan
Kwanza sijawah kuwaelewa hata siku moja
Japo kiranga anaonekana kuwa MTU mwenye akili nyingi sana ambazo hazipimiki
Mshana hasomek yupo upande upi japo hukwama kwa kaka yake kiranga
Likud huyu sijui ni mjuu Wa mwanamalunde sijui ni mjukuu Wa bibi fisi yaan hata sielewagi kabisa aisee
Yote kwa yote hawa jamaa baba yao ni mmoja
LIKUD Kiranga Mshana Jr
PointThe problem about smart MFs is that they sound crazy to stupid MFs.
Kuelewa watu smart shurti na wewe uwe smart.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ha ha ha ,thread ya shobi inageuzwa darasa dadekiiNaam.
Ndiyo maana nimetoa somo la Kardashev scale wasioijua waijue.
Thread ya shobo inageuzwa darasa.
Obvious anazo.... hasihoji ndio mwenye matatizo...Wewe umejuaje kwamba Kiranga anazo akili nyingi sana!!, unapimaje akili ya mtu na kujua wingi wake kwa jambo lipi?!.
Yeye anapinga uwepo wa Mungu, ki msingi, kutokana na shida na taabu na majanga yanayowakumba watu hapa duniani, anahoji kwamba kama Mungu mwenye upendo na uwezo wote angalikuwepo kwanini hizo shida ziwepo!?, sasa kwa mawazo yako unadhani kulingana na hiyo hoja unaweza sema huyo jamaa "anazo akili nyingi sana".!!??[emoji16][emoji16]
Ila hiyo sio conclusion ya kwamba mtu hana akili... kwasababu hata wenye akili nao wanafeli kwenye baadhi ya mambo.Unaelewa kinachosemwa hapa?!, Yeye huyo mpinga Mungu anahoji kwamba Mungu mwenye uwezo na huruma na upendo hayupo kwa sababu kama angalikuwepo kutokana na hizo sifa zake basi watu tusingalikuwa na shida na matatizo yoyote kwani Yeye Mungu angaliyaondosha. Huo ndiyo msingi mkuu wa utetezi wa hoja yake ikiambatana utetezi wa uongo na matusi kunogesha hoja au utetezi wake.
Mbali ya kwamba alijibiwa na watu wengi,lakini mimi binafsi nilimuambia kuwa hoja yake inajipinga yenyewe na kufa kifo cha kawaida (a self contradictory argument and natural dead one), Hebu jiulize hivi duniani kuna shida na matatizo pekee??!!, hakuna raha na furaha, starehe na faraja na mafanikio?!, bila shaka vipo, sasa kwa hoja yake kwamba Mungu hayupo kwa sababu ya shida na matatizo yaliyopo basi atakuwepo kutokana na raha na starehe zilizopo.
Sasa unaweza kusema huyo ndugu katumia akili gani kujenga hoja yake.
Kila mtu anayohaki ya kuamini kulingana na upeo wa akili yake lakini ukileta hoja za kupinga kitu mbele za watu bila kuwa na hoja thabiti lazima watu tuzivunje ili kukutanabahisha ukae na kufikiri upya. Mbaya zaidi jambo lenyewe "under discussion" ni kubwa mno. UWEPO WA MUNGU.
Ila hiyo sio conclusion ya kwamba mtu hana akili... kwasababu hata wenye akili nao wanafeli kwenye baadhi ya mambo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani ni opinion ya audience.... mtu akikwambia una akili that means huo ni mtazamo wake ... lakini pia unaweza ukawa ni mtazamo wengi kutokana na unavyojenga hoja.Of course nakubaliana nawe, na mimi nipo specific only in the case ya uwepo wa Mungu, na wewe pia lazima uwe specific kwa jambo lipi huyo ndugu tuone anazo akili.
Kwa mtazamo wangu Discussion ya Mungu haiwezi kufikia muafaka.
Ni undecidable.... undecidable problem ni ile ambayo haitupi hutimisho la ndio au hapana... hata miaka 100 ijayo bado watu watakuwa na discussion kama hizi.Discussion ya Mungu (kuwepo au kutokuwepo), inao muafaka, kwamba Mungu yupo.
Nayo inapanua mawazo zaidi kuliko discussion zingine zote kwa sababu hapa unaongelea spiritual science na kuitafsiri into real physical science ili mtu aelewe kuwa Mungu yupo.
Kwa maneno Mengine ni elimu ya roho ndiyo inayokuza vipawa vya elimu zote zingine tukitambua kwamba ni Mungu ndiyo chanzo cha elimu zote na maarifa yote hivyo ni yeye anayekuwa mualimu mkuu kupita wote, na jambo hilo tunafahamishwa na baadhi ya great men of science.
Ni elimu ya kumjua Mungu na maamrisho yake ndiyo inayokuza na kulea elimu zote na disciplines zote, bila ya elimu ya Mungu watu tutaishi kama wanyama katika dunia apparently seemed civilized.
Ni undecidable.... undecidable problem ni ile ambayo haitupi hutimisho la ndio au hapana... hata miaka 100 ijayo bado watu watakuwa na discussion kama hizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikisema moto unaunguza/unachoma (sidhani kama tutakuwa na majibu mawili).... hii ni decidable na hiyo ndio sifa ya facts.Hebu niambie jambo gani ni decidable!!, kwa nature ya akili ya binadamu ambayo ni "constant dynamic" hakuna kitu kitafikia mwisho katika kukufikiria siku zote mambo mapya yanaibuka with time passing, kama ingalikuwa vitu vinafika mwisho there would not be any development.
Kumfikiria Mungu is of a great paramount issue kwa sababu tukifa tunakwenda kwake kumlaki perception yetu kwake itakuwa kubwa sana kuliko hapa tulipo duniani.
Nikisema moto unaunguza/unachoma (sidhani kama tutakuwa na majibu mawili).... hii ni decidable na hiyo ndio sifa ya facts.
Sent using Jamii Forums mobile app