Kiranga, Mshana na Likud ni ndugu sema hawajuani tu

"Moto unaunguza/unachoma"---hapo unaongelea sifa moja ya moto, kwa akili ya binadamu hapo maswali yanaanza, (1) Moto gani?, (2) Moto wa gesi, mkaa au kuni au nguvu za nuklia??, (3) Unaunguza vipi?? (4) Una temperature kiasi gani??,(5) Je moto ni nini hasa hadi uitwe moto?? (5)Moto ni flame au ni moto kama wa mkaa na kuna tofauti gani hapo?? nk.

Hivyo ndivyo akili ya binadamu inavyofanya kazi kwa kudadisi na hiyo ndiyo chanzo cha maendeleo, mwanadamu si kama nyani mwenye "static thinking".
Hata ukiwa moto wa mabua... ndio nakwambia unachoma. (Ukiniambia hauchomi/haunguzi) manake kuna jibu la yes na kuna jibu la no... hivyo inakuwa undecidable... ukweli ni kwamba unachoma sidhani kama unabisha kwenye hili.. na ndicho nilichokuwa nakilenga..

Je, unakata kwamba hakuna ambavyo ni decidable??????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata maji yanazima moto ni decidable kulingana na mawazo yako.--- ninachosema ni hichi kwamba akili ya binadamu ni "dynamic"--- kwa sababu hata nyani anajua moto unaunguza!!, je nyani anapojua kwamba moto unaunguza na binadamu anapojua hilo je tupo at the same level of thinking on the same case of fire??!!. Akili ya binadamu inakwenda much further, ndiyo maana nikasema umezungumzia juu ya sifa moja ya moto kutoa "heat" lakini moto kama moto unajenga maswali mengi kama jinsi Mungu na uwepo wake vinajenga maswali--- kujenga maswali zaidi ni sifa ya akili ya bianadamu na hapo ndipo inapokuja hiyo sifa unayoisema "undecidable" juu ya kila kitu.

Kwa maneno mengine hicho unachoita "undecidable" tunaweza kusema ni chain thinking about issues/matters.

Swali linakuja Kuunguza nini hadi iitwe kuunguza?? nk, ni mtu asiyekuwa na dynamic thinking ndiye atayeona vitu au sifa ni decidable, ambapo mtu unafungua mlango wa ku limit akili yake.
 
Maelezo yote hayo.. lakini mjadala wa Mungu yupo au hayupo ni undecidable......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiranga is a singularity, do not transgress grotesquely by misanalogizing him.

You will need to reconcile Einstein's Relativity with Quantum Physics, and divide the resultant solution by zero, and advance to a Type V civilization on the Kardashev scale to gather the wattage needed to decipher the encryption and access the essence of His Kiranganess

KardashevScale_v8-1200x6084.jpg
Out of topic. Do u believe on the existence of intelligence lives on other planets or /and galaxies?
 
Back
Top Bottom