Kiranga, Mshana na Likud ni ndugu sema hawajuani tu

Hata ukiwa moto wa mabua... ndio nakwambia unachoma. (Ukiniambia hauchomi/haunguzi) manake kuna jibu la yes na kuna jibu la no... hivyo inakuwa undecidable... ukweli ni kwamba unachoma sidhani kama unabisha kwenye hili.. na ndicho nilichokuwa nakilenga..

Je, unakata kwamba hakuna ambavyo ni decidable??????

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Hata maji yanazima moto ni decidable kulingana na mawazo yako.--- ninachosema ni hichi kwamba akili ya binadamu ni "dynamic"--- kwa sababu hata nyani anajua moto unaunguza!!, je nyani anapojua kwamba moto unaunguza na binadamu anapojua hilo je tupo at the same level of thinking on the same case of fire??!!. Akili ya binadamu inakwenda much further, ndiyo maana nikasema umezungumzia juu ya sifa moja ya moto kutoa "heat" lakini moto kama moto unajenga maswali mengi kama jinsi Mungu na uwepo wake vinajenga maswali--- kujenga maswali zaidi ni sifa ya akili ya bianadamu na hapo ndipo inapokuja hiyo sifa unayoisema "undecidable" juu ya kila kitu.

Kwa maneno mengine hicho unachoita "undecidable" tunaweza kusema ni chain thinking about issues/matters.

Swali linakuja Kuunguza nini hadi iitwe kuunguza?? nk, ni mtu asiyekuwa na dynamic thinking ndiye atayeona vitu au sifa ni decidable, ambapo mtu unafungua mlango wa ku limit akili yake.
 
Maelezo yote hayo.. lakini mjadala wa Mungu yupo au hayupo ni undecidable......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Out of topic. Do u believe on the existence of intelligence lives on other planets or /and galaxies?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…