Kirefu na maaana ya LLB


Hongera kwa kuitumia google vizuri.
 

Nakubaliana name jibu lako LA kwanini wanaitana learned brothers... nijekweli kwa mujibu Wa legal ethics
 
Katika Kilatini kama neno liko katika wingi linafupishwa kwa kuiandika hiyo herufi mara mbili. mfano LL inamaanisha Laws, pp ni ufupisho wa pages in Latin

Asante. Hii ndo raha ya JF unakaa zako umetulia then unapata habari, elimu, burudani na kila kitu and the last one ni kuondoa stress
 
Teh teh teh teh hivi ODILI SAMALU unajua hesabu? Unajua integration?

Vijana wa first year hao mkuu achana nao wamefundishwa kuwa arrogant coz law is a noble profession. Wakija mtaani ndio watajua kuwa law is just like any other profession.

Huyo wa PSPA anaemdiss ndiye atakua boss wake endapo ataajiriwa na akiwa law firm asidhani within a year atakua tayari na gari kali.
 
jasusi hatari✔ mossad007 vs mbeba box✘ Nyani Ngabu,ooh my my what a debate!.someone call FFU to intervene before it's too late.
 
Last edited by a moderator:

...I'm a lawyer na ninakubaliana na wewe kuwa umeongea fact
 
Damn! This was me 10 years ago? 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…