Kirefu na maaana ya LLB

unajiaibisha... Hizi nguvu unazotumia kutukana hapa ungezitumia kufuga sungura ungekuwa mbali zaidi ya ulipo... By the way, kutukana ni dalili wazi ya kuishiwa hoja
 
Ndio degree pekee isiyokuwa bachelor of arts au bachelor of science
 
unajiaibisha... Hizi nguvu unazotumia kutukana hapa ungezitumia kufuga sungura ungekuwa mbali zaidi ya ulipo... By the way, kutukana ni dalili wazi ya kuishiwa hoja

-------- sio tusi ni mind status ya mtu.. unless useme little pussy ni tusi bas nilidhani ungeanza kunfundisha huyo bwana. Kuniambia nikafuge sungura that is exactly the best way to show ur coward argumentative approach bila kuangalia mriririko wa hoja. Nachokwambia na ww ni mpumbav.u mwngne kama huyo mwenzako.. a total coward!
 
Amina..... wewe shupavu na jasili.

To me mtiririko haujalishi kama mwisho wa mtiririko ni m'baya.
 
Ila kiukwel vyuo vya uhasibu ni vingi sana kwa ngaz ya certificate mpaka degree kuna zoom college,udzungwa college,st.jose training college,ifm,ruco,udom,eukenford,state university of zanziba,udsm,mzumbe,ardhi,muccobs,tia(dar), tia(singida),tia(mtwara),IAA,JORDAN UNIVERSITY,ST.STEPHANO,ITA,SAUT(MWANZA),tumaini,SAUT (ARUSHA-MPYA), SAUT(Mbeya),ARUSHA UNIVERSITY, vyote hivi vinatoa masomo ya kihasibu ,tuje law UDSM,MZUMBE,MUCCoBS,RUCo,IJA,SAUT,TUMAINI,MAKUMIRA,UDOM,
 
LL,B ni degree ya sheria kwa kilatini Masters yake ni LL,M na PhD(LL,D) pia degree ya medicine ifupishwa kilatini kama MBBS (Medinae baccaraleuos baccaraleous science)
 
Amina..... wewe shupavu na jasili.

To me mtiririko haujalishi kama mwisho wa mtiririko ni m'baya.

Halafu hatusemi "jasili" tunaita "jasiri" ukajifunze lugha yako ya taifa ndo urudi hapa. Kama unaangalia mtirririko haujalishi bas tuendelee hapa u'll receive what u deserve.
 
Well well, gay atlast umeamua kufunguka sasa nakukaribisha.. Mama yangu akiwa mpumbav.u mama yako atakua mshenz.i kwa kuzaa shoga kama ww. Halafu i wont "shut the fck up" as u said until i totaly screw ur punk a.ss little gal.. sawa...???
Haifai nyie wawili kubadili dhana nzima ya mleta mada.... Yaani toka LL.B mpaka matusi... Duh... Mmetukanana wenyewe hadi mkahamia kwa mama zenu.... Baada ya wamama sijui mtaenda wapi kama mkiachwa na MODS
 
Kwa namna hii hutaweza kumfundisha mtu yeyote chochote... Maana wanafunzi huwa wana vioja vingi, sasa kwa vioja vyao nawe utarudisha vioja

Yes u'r correct mimi silei upumba.vu halaf the other side of me ni mhuni jus like anyone else so u'll av the same package u deserve as i come with all.
 
Mm ni mfuasi wa maandiko yako humu jamvini najua tupo wengi sana, umekuwa honest kwa post yako, hata hvyo Nyani Ngabu ni mwanasheria anawazingua wanasheria wenzake tu!
 
Last edited by a moderator:
Fool f**k you mjinga mkubwa wewe huna hata certificate unakuja kubishana na learned advocates&lawyerz wenye LL,B,LL,M,LL,D

Hao Learned wanaweza kujitibu wenyewe wakiugua? Magari yao wanayatengenezq wao? Nyumba wanajenga wao, barabara wanatengeneza wao?
Acha kujifanya mjuaji wakati Law ni ni ya kawaida kama elimu zingine.
 
"LL.B." stands for Legum Baccalaureus in Latin.
 
Hao Learned wanaweza kujitibu wenyewe wakiugua? Magari yao wanayatengenezq wao? Nyumba wanajenga wao, barabara wanatengeneza wao?
Acha kujifanya mjuaji wakati Law ni ni ya kawaida kama elimu zingine.
Najaribu kuwaza... Hivi ingekuwaje kama dunia ingekuwa na maloya pekee...??
 
Fool f**k you mjinga mkubwa wewe huna hata certificate unakuja kubishana na learned advocates&lawyerz wenye LL,B,LL,M,LL,D

kama sio first yr utakuwa second yr wewe yaani unasoma sheria halafu unatukana hujui kuwa hilo ni kosa kisheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…