Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Na inashangaza sana lawyer kuwa extra emosional... Yaani mahakamani lazima ushindweMkuu nimejaribu kupitia huu uzi sijaona kosa la Nyani Ngabu Kama kosa lake ni kuhoji madai ya LLB kuwa bora kuliko zingine, nafikiri angestahili maelezo na sio matusi.
Last edited by a moderator: