ndupa
JF-Expert Member
- Jan 25, 2008
- 4,403
- 148
Mm ni mfuasi wa maandiko yako humu jamvini najua tupo wengi sana, umekuwa honest kwa post yako, hata hvyo Nyani Ngabu ni mwanasheria anawazingua wanasheria wenzake tu!
Uko sawa mkuu!!! Hata mimi mdau sana watu yaani mossad007 na mkuu Nyani Ngabu..
Kusema kweli sijafurahishwa na kitendo chao cha kuporomosheana mitusi hapa jukwaani!!! Achilia mbali ya kua mdau wao lakini pia ni wakongwe hapa J.F sasa sielewi haya matisi wanatufundisha nini!!!!
Walianza kwa hoja vizuri, ghafla matusi yakaanza...narudia tena sijafurahishwa na mitusi yao!!! Na hii inawashushia heshima hapa j.f..
Na kama ni ma lawyer kama wanavodai nashindwa kuelewa ni lawyer gani ambaye yuko emotional kiasi hiki?? Je wataweza simama mahakani kwa mtindo huu?? Au wataanza kuporomosha mitusi mahakamani??? I dought!!!
Mbona akina Mkiliman walikuja na hoja wakaeleweka!! Why nyie?? Au matusi yanaruhusiwa kisheria!! Bado tunahitaji mengi toka kwenu ila sio mitusi!! Jirekebisheni wakuu...
Cc Nyani Ngabu na mossad007..
Last edited by a moderator: