Kirefu na maaana ya LLB

Kirefu na maaana ya LLB

Mm ni mfuasi wa maandiko yako humu jamvini najua tupo wengi sana, umekuwa honest kwa post yako, hata hvyo Nyani Ngabu ni mwanasheria anawazingua wanasheria wenzake tu!

Uko sawa mkuu!!! Hata mimi mdau sana watu yaani mossad007 na mkuu Nyani Ngabu..

Kusema kweli sijafurahishwa na kitendo chao cha kuporomosheana mitusi hapa jukwaani!!! Achilia mbali ya kua mdau wao lakini pia ni wakongwe hapa J.F sasa sielewi haya matisi wanatufundisha nini!!!!

Walianza kwa hoja vizuri, ghafla matusi yakaanza...narudia tena sijafurahishwa na mitusi yao!!! Na hii inawashushia heshima hapa j.f..

Na kama ni ma lawyer kama wanavodai nashindwa kuelewa ni lawyer gani ambaye yuko emotional kiasi hiki?? Je wataweza simama mahakani kwa mtindo huu?? Au wataanza kuporomosha mitusi mahakamani??? I dought!!!

Mbona akina Mkiliman walikuja na hoja wakaeleweka!! Why nyie?? Au matusi yanaruhusiwa kisheria!! Bado tunahitaji mengi toka kwenu ila sio mitusi!! Jirekebisheni wakuu...
Cc Nyani Ngabu na mossad007..
 
Last edited by a moderator:
Really? How are they better?

How is a lawyer better than a rocket scientist or nuclear physicist?

How is a magistrate better than a brain surgeon or cardiologist?

Hapa huwa nakunyooshea Dole gumba Mkuu.
 
Wengi wao ni waoga hata kutetea kesi ukitafuta mawakili au wanasheria makini hapa Tanzania hata 100 hawafiki wengi wao ni wanaharakati tu na wajanja wa kutaka pesa nyingi hata kama anajua kesi hushindi.

Najaribu kuwaza... Hivi ingekuwaje kama dunia ingekuwa na maloya pekee...??
 
Umemaliza mkuu yaani kuuziana viwanja,magari na mikataba ya nyumba ooooooonh utawapendaaaa!!!!!!!
Mifupa migumu wachache sana wanaojaribu japo kunusa!!!!!
 
Ila kiukwel vyuo vya uhasibu ni vingi sana kwa ngaz ya certificate mpaka degree kuna zoom college,udzungwa college,st.jose training college,ifm,ruco,udom,eukenford,state university of zanziba,udsm,mzumbe,ardhi,muccobs,tia(dar), tia(singida),tia(mtwara),IAA,JORDAN UNIVERSITY,ST.STEPHANO,ITA,SAUT(MWANZA),tumaini,SAUT (ARUSHA-MPYA), SAUT(Mbeya),ARUSHA UNIVERSITY, vyote hivi vinatoa masomo ya kihasibu ,tuje law UDSM,MZUMBE,MUCCoBS,RUCo,IJA,SAUT,TUMAINI,MAKUMIRA,UDOM,

Point yako ni ipi hapa !?
 
Uko sawa mkuu!!! Hata mimi mdau sana watu yaani mossad007 na mkuu Nyani Ngabu..

Kusema kweli sijafurahishwa na kitendo chao cha kuporomosheana mitusi hapa jukwaani!!! Achilia mbali ya kua mdau wao lakini pia ni wakongwe hapa J.F sasa sielewi haya matisi wanatufundisha nini!!!!

Walianza kwa hoja vizuri, ghafla matusi yakaanza...narudia tena sijafurahishwa na mitusi yao!!! Na hii inawashushia heshima hapa j.f..

Na kama ni ma lawyer kama wanavodai nashindwa kuelewa ni lawyer gani ambaye yuko emotional kiasi hiki?? Je wataweza simama mahakani kwa mtindo huu?? Au wataanza kuporomosha mitusi mahakamani??? I dought!!!

Jirekebisheni wakuu...
Cc Nyani Ngabu na mossad007..

Uko sawa sana kaka,ubarikiwe sana mkuu LORDVILLE hapa ndio huwa naona Jf ni home away from home!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Wahuni wengi wamevamia fani, ndo maana marehemu Dr Mvungi & Co walirudisha Law school ili wachujwe vilaza wasipenye lakini napo nasikia kuna watu wanaiba pepa na wengine wanaibiana kwenye vymba vya mitihani sas hapo tutaishia kupata mawakili majina tu lakini kichwani hakuna kitu, kuna mtu nilimpa kesi ndogo tu ya madai naushahidi upo lakini nikamwona nataka kujenga mazingira ya kutoa rushwa eti hii kesi ni ngumu hatuwezi kushinda bila kurekebisha mambo kwa mheshimiwa nikakataa na kuachana nae

Umemaliza mkuu yaani kuuziana viwanja,magari na mikataba ya nyumba ooooooonh utawapendaaaa!!!!!!!
Mifupa migumu wachache sana wanaojaribu japo kunusa!!!!!
 
Uko sawa mkuu!!! Hata mimi mdau sana watu yaani mossad007 na mkuu Nyani Ngabu..

Kusema kweli sijafurahishwa na kitendo chao cha kuporomosheana mitusi hapa jukwaani!!! Achilia mbali ya kua mdau wao lakini pia ni wakongwe hapa J.F sasa sielewi haya matisi wanatufundisha nini!!!!

Walianza kwa hoja vizuri, ghafla matusi yakaanza...narudia tena sijafurahishwa na mitusi yao!!! Na hii inawashushia heshima hapa j.f..

Na kama ni ma lawyer kama wanavodai nashindwa kuelewa ni lawyer gani ambaye yuko emotional kiasi hiki?? Je wataweza simama mahakani kwa mtindo huu?? Au wataanza kuporomosha mitusi mahakamani??? I dought!!!

Jirekebisheni wakuu...
Cc Nyani Ngabu na mossad007..

LORDVILLE it happens once in a while when a person gets into yo nerves thngs actually turns wild.. Mimi sio muumini wa lugha chafu ila nazijua tho sitafuti heshima yoyote hapa JF ila ni hamasa kujua unaheshimiwa kama ww unavyowaheshimu watu.. Huyu Nyani Ngabu sio hapa tu nimeona huko kwenye mijadala mingne pia anatukanana na watu, labda hakuamka vzur mi sifaham, wameni PM watu 6 kuniambia niachane na huo mlolongo it caught my sense... binafsi namheshimu sana labda kapitiwa tu had and yet 'll av nothng personal with him. Pole sana kwa kukukwaza ww na mwingne yeyote.
Uwe na J2 njema!
 
Last edited by a moderator:
Najaribu kuwaza... Hivi ingekuwaje kama dunia ingekuwa na maloya pekee...??

Fool f**k you mjinga mkubwa wewe huna hata certificate unakuja kubishana na learned advocates&lawyerz wenye LL,B,LL,M,LL,D[/QUOTE

Unabishana kuhusu katiba au nini?
Sifa kuu ya Mungu ni uumbaji wa vitu vyote: Na ameviweka vyote katika fomula na taratibu maalum , na ndivyo ilivyo kwa hawa watu wenye IQ kubwa yaani wanasayansi.
 
LORDVILLE it happens once in a while when a person gets into yo nerves

Gets on your nerves.

thngs actually turns wild..

Rather get out of control than turn wild, not turns wild.

Huyu Nyani Ngabu sio hapa tu nimeona huko kwenye mijadala mingne pia anatukanana na watu

Kwenye hii mada wewe ndo ulianza kunitukana baada ya kushindwa kuelewa nilichoandika kwenye nukuu ya bandiko lako.

So much for a so called 'lawyer'.

labda hakuamka vzur mi sifaham,

Labda we ndo hukuamka vizuri maana matusi sikuanza miye. Ulianza wewe.

wameni PM watu 6 kuniambia niachane na huo mlolongo it caught my sense

Nothing new there. Wote waliokuandikia ni wanafiki tu. And I had a feeling some would do that. It's the way of the world, I guess.

... binafsi namheshimu sana labda kapitiwa tu had and yet 'll av nothng personal with him.

Ungekuwa unaniheshimu sana basi badala ya kuandika kunijibu na kuanza kunishambulia, ungekuwa muungwana na kusoma kwa makini na utulivu kile nilichokiandika halafu pale ambapo hukuwa umeelewa ungeniuliza.

Badala yake ukaanza kunishambulia kwa kuniita "coward", 'mpumbav.u' na maneno mengine ya kebehi na kejeli.

Ulianza mwenyewe, ulipojibiwa kimtindi ukaanza kulia lia.

Go to hell and burn.
 
Fool f**k you mjinga mkubwa wewe huna hata certificate unakuja kubishana na learned advocates&lawyerz wenye LL,B,LL,M,LL,D

With all respect! you are better than this.
Nyani Ngabu alitaka tu kujua ni kwa jinsi gani hayo madai kuhusu ubora wa LL.B yana ukweli? nafikiri nia bora inekua kuweka vigezo vilivyotumika na kuelezea hoja.
 
Last edited by a moderator:
Gets on your nerves.

Rather get out of control than turn wild, not turns wild.

Kwenye hii mada wewe ndo ulianza kunitukana baada ya kushindwa kuelewa nilichoandika kwenye nukuu ya bandiko lako.

So much for a so called 'lawyer'.

Labda we ndo hukuamka vizuri maana matusi sikuanza miye. Ulianza wewe.

Nothing new there. Wote waliokuandikia ni wanafiki tu. And I had a feeling some would do that. It's the way of the world, I guess.

Ungekuwa unaniheshimu sana basi badala ya kuandika kunijibu na kuanza kunishambulia, ungekuwa muungwana na kusoma kwa makini na utulivu kile nilichokiandika halafu pale ambapo hukuwa umeelewa ungeniuliza.

Badala yake ukaanza kunishambulia kwa kuniita "coward", 'mpumbav.u' na maneno mengine ya kebehi na kejeli.

Ulianza mwenyewe, ulipojibiwa kimtindi ukaanza kulia lia.

Go to hell and burn.

Speaking of your correction..have this to say.. of less quality, poor mind, idiot, amature, too ordinary to stand the stage.. English has & 'll never be a one way truffick..!! Sorry to say so!
Kama uliomba radhi its obvious ulifanya kitu cha kipumbavu na upbav.u sio tusi unless otherwise usingeomba radhi..
Kulia sijui kwako kuna maana gan ila i'll give u what u deserve.. Stupid!
 
LORDVILLE it happens once in a while when a person gets into yo nerves thngs actually turns wild.. Mimi sio muumini wa lugha chafu ila nazijua tho sitafuti heshima yoyote hapa JF ila ni hamasa kujua unaheshimiwa kama ww unavyowaheshimu watu.. Huyu Nyani Ngabu sio hapa tu nimeona huko kwenye mijadala mingne pia anatukanana na watu, labda hakuamka vzur mi sifaham, wameni PM watu 6 kuniambia niachane na huo mlolongo it caught my sense... binafsi namheshimu sana labda kapitiwa tu had and yet 'll av nothng personal with him. Pole sana kwa kukukwaza ww na mwingne yeyote.
Uwe na J2 njema!

Mkuu nimejaribu kupitia huu uzi sijaona kosa la Nyani Ngabu Kama kosa lake ni kuhoji madai ya LLB kuwa bora kuliko zingine, nafikiri angestahili maelezo na sio matusi.
 
Last edited by a moderator:
Wahuni wengi wamevamia fani, ndo maana marehemu Dr Mvungi & Co walirudisha Law school ili wachujwe vilaza wasipenye lakini napo nasikia kuna watu wanaiba pepa na wengine wanaibiana kwenye vymba vya mitihani sas hapo tutaishia kupata mawakili majina tu lakini kichwani hakuna kitu, kuna mtu nilimpa kesi ndogo tu ya madai naushahidi upo lakini nikamwona nataka kujenga mazingira ya kutoa rushwa eti hii kesi ni ngumu hatuwezi kushinda bila kurekebisha mambo kwa mheshimiwa nikakataa na kuachana nae
mawazo finyu
 
kinachohitajika kwa sasa ni kuhakikisha tunapata competent lawyers na napongeza serikali kuanzisha LAW SCHOOL OF TANZANIA kwa ajili ya kuhakikisha tunapata competent ADVOCATES&LAWYERS tumeachana na ile system ya zamani ambapo LL,B,LL,M&LL,D holders walikuwa wanatakiwa kufanya BAR EXAMINTION ili wawe MAWAKILI (ADVOCATES)
 
Unaweza thibitisha hii kauli yako?LL.B ana sifa labda zaidi ya Engineer wa NASA?Zaidi ya Neurologist?

Ukisoma historia utaona ni jinsi gani sheria ilivyokuwa inaheshimika sana ndio hata waliokuwa wanasheria walikuwa na mpaka sasa wanaitwa wasomi.Ndio maengineer na wengine nao wamesoma sana ila kipindi hicho course zao hazikupewa heshima kama ilivyo kwa sheria.
 
Back
Top Bottom