Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
inaonekana unachukizwa na kitendo cha wanasheria kuitwa wasomi,
Hapana, wala sichukizwi bali nastaajabishwa tu.
anyway pole sana
Sihitaji pole yako.
wanaitwa hivyo na wataendelea kuitwa hivyo tumeikuta na tutayaacha hivyohivyo.
Saying it so doesn't make it so. You can call yourself god if you want to because no one can stop you from doing that. But calling yourself god doesn't make you one.Take that.
Ukipenda waite hao maengineer na wenye fani nyingine wasomi hakitapungua kitu chochote.
Naam, kama ambavyo wanasheria kujiita wasomi hakuwafanyi wawe wasomi wala kuwaongezea au kuwapunguzia chochote.
So what's really your point beside blabbing mindless gobbledygook?