Kirefu na maaana ya LLB

Kirefu na maaana ya LLB

Ni kweli mkuu wangu hawa jamaa siku hizi hawana thamani waliyokuwa nayo miaka ya nyuma labda wingi wa vyuo vinavyotoa LL.B ni sababu kubwa zaidi.Mfano Mzumbe,St Augutine,OUT,UDSM,Tumaini,MUCCoBS vyote hivi vinamwaga wanasheria wakutisha wakiachiwa huku mitaani maringo ya zamani yanatoweka kabisa.

Ila siku hizi kibongo bongo nahisi kama ile hadhi ya juu waliyokuwa nayo watu waliosomea sheria haipo tena.sijajua tatizo ni nini?.uwepo wa vyuo vingi vinavyo toa LL.B na kusababisha LL.B holders wengi mitaani?.ukosefu wa ajira?.citizen's awereness of some basic rights and the civic education taught by opposition party like CHADEMA throughout the country?. legal knowledge found in google via an easy access of internet?.kiukweli hawa jamaa miaka ya nyuma walikuwa juu sana.kuanzia muonekano wao na uwezo wa kuchambua mambo.what's wrong learned brothers and learned sisters?.
 
kuna kakozi flani ka sheria niliwahi kukasoma huko nyuma ili nijazie ka CV kangu ka kuunga unga.nilipiga B+ ktk somo la crimanal law and public order.nashukuru angalau najua zile ABC za kisheria kiasi hata nikikutana na mwela mtaani akanijia kichwa kichwa,naweza kum-challenge.lol
 
Huna cha kuchangia wewe bhana hizi idea ni very complicated kwako wewe mimi huwaga naishangaaga sana hii milayman

Mmmh!! Mkuu, hata kama wewe ni Mwanasheria Msomi lkn maandishi/majibu yako sio ya busara hata kidogo, kwani uko kihasira, ujinga na majivuno yasiyo na tija.

Hata hivyo, swali la mtoa mada ilikuwa ni kutaka kufahamu, kwanza, kirefu cha herufi LL.B na, pili, kufahamu maana ya herufi LL.B.

Zaidi, kutokana na hulka za wanaJF, wanataka kufahamu kwanini wanasheria, esp. advocates, and sometimes even judicial officers and the likes, wanajiita mawakili wasomi?

Majibu yenye vielelezo na kina ndiyo suluhisho na sio dharau.!!

Mind you, humu JF tunao watu wenye taaluma, vipaji, etc, vya kila aina (for instance, I'm a Lawyer, did 4 years at UDSM, working in a law firm in Dar); hence, be careful enough when you hit somebody's back.
 
Mkuuu umejibu vizuri sana,umetulia,ukavuta pumzi,then ukamjibu..ndio maaana ya elimu, lazima uwe tofauti na waropokaji:thumbup:
 
Ni kweli mkuu wangu hawa jamaa siku hizi hawana thamani waliyokuwa nayo miaka ya nyuma labda wingi wa vyuo vinavyotoa LL.B ni sababu kubwa zaidi.Mfano Mzumbe,St Augutine,OUT,UDSM,Tumaini,MUCCoBS vyote hivi vinamwaga wanasheria wakutisha wakiachiwa huku mitaani maringo ya zamani yanatoweka kabisa.

Acha ujinga wewe angalia vyuo vinavyotoa masomo ya uhasibu UDSM,IFM,ITA,TIA(DAR),TIA(SINGIDA),UDOM,MZUMBE,MUCCoBS,RUCo,IAA,SAUT,ARDHI,TUMAINI hivi vyote ni vyuo vya uhasibu
 
wanazuoni wasomi ni wanasheria tu...si is like this educated vs learned other professional they are just educated but lawyers,advocates, magistrate and judges are learned(wasomi) means they are better than the person who are just educated
hapo unatudanganya mkuu!!!
Really? How are they better?

How is a lawyer better than a rocket scientist or nuclear physicist?

How is a magistrate better than a brain surgeon or cardiologist?
embu na wewe jibu hili swali!!
 
Acha ujinga wewe angalia vyuo vinavyotoa masomo ya uhasibu UDSM,IFM,ITA,TIA(DAR),TIA(SINGIDA),UDOM,MZUMBE,MUCCoBS,RUCo,IAA,SAUT,ARDHI,TUMAINI hivi vyote ni vyuo vya uhasibu

Basi tuambie wewe kwann taaluma ya sheria imekuwa easy kiasi hiki siku hizi?
 
Mmmh!! Mkuu, hata kama wewe ni Mwanasheria Msomi lkn maandishi/majibu yako sio ya busara hata kidogo, kwani uko kihasira, ujinga na majivuno yasiyo na tija.

Hata hivyo, swali la mtoa mada ilikuwa ni kutaka kufahamu, kwanza, kirefu cha herufi LL.B na, pili, kufahamu maana ya herufi LL.B.

Zaidi, kutokana na hulka za wanaJF, wanataka kufahamu kwanini wanasheria, esp. advocates, and sometimes even judicial officers and the likes, wanajiita mawakili wasomi?

Majibu yenye vielelezo na kina ndiyo suluhisho na sio dharau.!!

Mind you, humu JF tunao watu wenye taaluma, vipaji, etc, vya kila aina (for instance, I'm a Lawyer, did 4 years at UDSM, working in a law firm in Dar); hence, be careful enough when you hit somebody's back.

kwa jinsi ulivotoa hoja hata mimi umeni-convice wewe ni mwanasheria!!!! sio kama hawa akina ODILI SAMALU...na hata kama huyu mtu ni mwanasheria basi mmevamiwa!!!
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu hata hamfahamu matumizi ya google. Muulize google ana majibu yote unayotaka kwanini imeitwa LL.B. na kwanini ina L moja ni neno lenye asili ya wapi. Ask google
 
Acha ujinga wewe angalia vyuo vinavyotoa masomo ya uhasibu UDSM,IFM,ITA,TIA(DAR),TIA(SINGIDA),UDOM,MZUMBE,MUCCoBS,RUCo,IAA,SAUT,ARDHI,TUMAINI hivi vyote ni vyuo vya uhasibu

Mkuu ODILI SAMALU JF ni sehemu tunayofanya majadiliano kwa ustaarabu ungeweza kukataa hoja zangu kwa kutumia lugha ya kistaarabu.Ni kweli vyuo ulivyovitaja vinatoa degree za uhasibu lakini pia karibu vyuo vyote vinatoa degree za sheria sasa tujiulize mahitaji ya wahasibu na wanasheria yakoje.Mfano compuny XYZ imeanzishwa shughuli kuu ni uzalishaji wa vioo kwaajili ya mahitaji ya ujenzi na matumizi ya magari.Kampuni hii itahitaji wanasheria wangapi na wahasibu wangapi ?,hakuna ubishi kampuni hii inaweza isiajiri mwanasheria kabisa lakini lazima itaajiri wahasibu kadhaa mfano Account payable controller,Account receivable,cost accountant,casher,chief accountant......mpaka hapo tuneshafikisha idadi ya watu 5 wakati kwa upande wa sheria labda watatumia mwanasheria wa nje kwa muda mchache sana.

Mfano mwingine chukua halmashauri yoyote labda Arusha au Kigoma utakuta ofisi ya sheria ina mwanasheria mmoja ukienda upande wa uhasibu utakuta kuna mweka hazina wa halmashauri,kuna mhasibu wa mishahara,kuna revenue accountant,expenditure accountant bado makarani kibao.Nenda shirika la umma kama TANESCO tembelea mkoa wowote unaopenda utakuta hakuna ofisi ya nwasheria level ya mkoa lakini ukienda idara ya uhasibu utakuta kuna mhasibu wa mapato,mhasibu wa matumizi,cashers kama wanne.....

Basi tuambie wewe kwann taaluma ya sheria imekuwa easy kiasi hiki siku hizi?

Mkuu wangu ASIKARI ukweli ni kwamba mahitaji ya wanasheria katika taasisi mbali mbali ni madogo sana ukilinganisha na wingi wao unaosababishwa na wingi wa vyuo vinavyozalisha wataalamu wasekta ya sheria.
 
Last edited by a moderator:
Mkuuu umejibu vizuri sana,umetulia,ukavuta pumzi,then ukamjibu..ndio maaana ya elimu, lazima uwe tofauti na waropokaji:thumbup:

Mkuu, ubarikiwe sana. Huwa tunaona na kusoma hoja za watu humu, honestly, wanaJF wasasa ni majanga coz wanaweza kutoa mchango mpaka unashangaa uhalali au ukweli wake.

Anyways, we're living in a free country where the freedom of expression is fully deemed to be guaranteed constitutionally.
 
Mkuu wangu ASIKARI ukweli ni kwamba mahitaji ya wanasheria katika taasisi mbali mbali ni madogo sana ukilinganisha na wingi wao unaosababishwa na wingi wa vyuo vinavyozalisha wataalamu wasekta ya sheria.[/QUOTE]

Mkuu safi sana
Sasa kwann wanasheria wazamani sio wakali kama wa sasa??
 
Last edited by a moderator:
Mkuu ODILI SAMALU JF ni sehemu tunayofanya majadiliano kwa ustaarabu ungeweza kukataa hoja zangu kwa kutumia lugha ya kistaarabu.Ni kweli vyuo ulivyovitaja vinatoa degree za uhasibu lakini pia karibu vyuo vyote vinatoa degree za sheria sasa tujiulize mahitaji ya wahasibu na wanasheria yakoje.Mfano compuny XYZ imeanzishwa shughuli kuu ni uzalishaji wa vioo kwaajili ya mahitaji ya ujenzi na matumizi ya magari.Kampuni hii itahitaji wanasheria wangapi na wahasibu wangapi ?,hakuna ubishi kampuni hii inaweza isiajiri mwanasheria kabisa lakini lazima itaajiri wahasibu kadhaa mfano Account payable controller,Account receivable,cost accountant,casher,chief accountant......mpaka hapo tuneshafikisha idadi ya watu 5 wakati kwa upande wa sheria labda watatumia mwanasheria wa nje kwa muda mchache sana.

Mfano mwingine chukua halmashauri yoyote labda Arusha au Kigoma utakuta ofisi ya sheria ina mwanasheria mmoja ukienda upande wa uhasibu utakuta kuna mweka hazina wa halmashauri,kuna mhasibu wa mishahara,kuna revenue accountant,expenditure accountant bado makarani kibao.Nenda shirika la umma kama TANESCO tembelea mkoa wowote unaopenda utakuta hakuna ofisi ya nwasheria level ya mkoa lakini ukienda idara ya uhasibu utakuta kuna mhasibu wa mapato,mhasibu wa matumizi,cashers kama wanne.....

Mkuu wangu ASIKARI ukweli ni kwamba mahitaji ya wanasheria katika taasisi mbali mbali ni madogo sana ukilinganisha na wingi wao unaosababishwa na wingi wa vyuo vinavyozalisha wataalamu wasekta ya sheria.

mkuu umewapa mchanganuo mzuri.
 
Last edited by a moderator:
Binafsi ni wakili na sababu ya Wanazuoni wa Taaluma ya Sheria kuitwa "Wasomi" ni mfumo tuliorithi kutoka kwa Mwingereza wa kuwaita wanasheria "learned brother/sister". Hili tunafundishwa kwenye somo linaitwa Legal Ethics tunaambiwa moja ya majukumu ya ethical practice ni kuheshimu na kutambua taaluma ya mwanazuoni mwenzako na tunawaita wasomi kama moja wapo ya recognition.
2. Kweli taaluma ya Law kwa sasa imepoteza ile heshima ya miaka ya nyuma ila sababu ni kuwa huko nyuma kwanza generally wasomi walikua wachache (katika fani almost zote), halafu Taasisi pekee iliyofundisha sheria ilikua moja tu (UDSM) baadae wakaja Mzumbe, then kulikua na kasumba kua Law ni fani ngumu, mwisho kabisa pia kuna ile "kasumba" ya Wanasheria kujivunia mno fani yao kua ni most Elite & Intellectual course ingawa mimi siamini hivyo.
Kwa sasa wasomi wa sheria ni wengi sana, vyuo pia vingi.
3. Anayesema sheria ni fani bora kuliko zote hii haijakaa sawa. Dunia ya leo inahitaji mjumuiko wa wataalam mbali mbali kufanikisha mambo. Sisi wanasheria tunawahutaji sana Forensic detectives kwenye kusolve criminal issues, tunawahitaji sana wahasibu na wakaguzi kuendesha biashara zetu (law firms), tunawahitaji sana madaktari kuweka afya zetu sawa tuweze kustand trial, tunawahitaji sana mainjinia atlist tuweke mawasiliano sawa na wateja wetu na kwa wakat.
 
Kuna watu hata hamfahamu matumizi ya google. Muulize google ana majibu yote unayotaka kwanini imeitwa LL.B. na kwanini ina L moja ni neno lenye asili ya wapi. Ask google

Mkuuu unasikitisha
Nini kazi ya jukwaa ka sheria?? Kuulizia kesi zilizo pita ama kuomba ushauri wa kisheria?? Hapana, nadhan lengo hapa ni kujifunza, ndio maaana kuna kuuliza swali na kutoa majibu kama upo interested. Sio lazima ujibu kama hauko interested.
Google ipo, hakuna asie jua, il wakat mwingine michanganuo na mifano tunayo ipata humu ni zaidi ya google
 
kwa jinsi ulivotoa hoja hata mimi umeni-convice wewe ni mwanasheria!!!! sio kama hawa akina ODILI SAMALU...na hata kama huyu mtu ni mwanasheria basi mmevamiwa!!!

Haahaahaa!! Mkuu, LORDVILLE, nimependa the express yourself style yako. Nafahamu kwa kiasi kidogo jinsi taaluma ya SHERIA ilivyoingiliwa na baadhi ya watu and, cautiously, those people wanaweza kusema things as if nobody may come along to criticize 'em all.

Kilichonichukiza kuhusu huyo ODILI SAMALU ni pale alipoonyesha utovu wa nidhamu, dharua na kujifanya kujua katika kujaribu kujenga/kujibu hoja yake (dhidi ya MwanaJF, if I'm not wrong, Nyani Ngabu, whose michango na hoja zake are quite handsome always). Utovu wa nidhamu, dharau au ujuaji is not part of legal profession/ practices at all, that's why Tanganyika Law Society walishatunga kanuni (2012) ili kuthibiti ridicule persons who tarnishes legal profession at no cost.

Moreover, pamoja na kujifanya kujua, bado hata lile swali la msingi kuwa "what does letters "LL.B" stand for or means or, the query "why lawyers, esp. Advocates" call themselves as learned brothers/sisters, halikupata majawabu. We want those who express themselves as lawyers to come out clean and detail it down bila chenga about the conceptualized legal ideas.

So far, I know what does letters "LL.B" mean, its origin and, little, why we call ourselves as Learned Brothers/Sisters, where appropriate.

Blessings.
 
Mkuu ODILI SAMALU JF ni sehemu tunayofanya majadiliano kwa ustaarabu ungeweza kukataa hoja zangu kwa kutumia lugha ya kistaarabu.Ni kweli vyuo ulivyovitaja vinatoa degree za uhasibu lakini pia karibu vyuo vyote vinatoa degree za sheria sasa tujiulize mahitaji ya wahasibu na wanasheria yakoje.Mfano compuny XYZ imeanzishwa shughuli kuu ni uzalishaji wa vioo kwaajili ya mahitaji ya ujenzi na matumizi ya magari.Kampuni hii itahitaji wanasheria wangapi na wahasibu wangapi ?,hakuna ubishi kampuni hii inaweza isiajiri mwanasheria kabisa lakini lazima itaajiri wahasibu kadhaa mfano Account payable controller,Account receivable,cost accountant,casher,chief accountant......mpaka hapo tuneshafikisha idadi ya watu 5 wakati kwa upande wa sheria labda watatumia mwanasheria wa nje kwa muda mchache sana.

Mfano mwingine chukua halmashauri yoyote labda Arusha au Kigoma utakuta ofisi ya sheria ina mwanasheria mmoja ukienda upande wa uhasibu utakuta kuna mweka hazina wa halmashauri,kuna mhasibu wa mishahara,kuna revenue accountant,expenditure accountant bado makarani kibao.Nenda shirika la umma kama TANESCO tembelea mkoa wowote unaopenda utakuta hakuna ofisi ya nwasheria level ya mkoa lakini ukienda idara ya uhasibu utakuta kuna mhasibu wa mapato,mhasibu wa matumizi,cashers kama wanne.....

Mkuu wangu ASIKARI ukweli ni kwamba mahitaji ya wanasheria katika taasisi mbali mbali ni madogo sana ukilinganisha na wingi wao unaosababishwa na wingi wa vyuo vinavyozalisha wataalamu wasekta ya sheria.

mkishawachambua wanasheria mtahamia kwa madaktari wa binadamu nao mtasema hawana hadhi kama ya zamani maana siku hizi dozi za maleriakisonono, kaswende, kipangusa, malengelenge mnajidunga wenyewe sio kama zamani lazima ukamuone mganga. Endeleeni kudharau fani za watu wengine ambazo nyinyi hamna
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom