Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Ni kweli mkuu wangu hawa jamaa siku hizi hawana thamani waliyokuwa nayo miaka ya nyuma labda wingi wa vyuo vinavyotoa LL.B ni sababu kubwa zaidi.Mfano Mzumbe,St Augutine,OUT,UDSM,Tumaini,MUCCoBS vyote hivi vinamwaga wanasheria wakutisha wakiachiwa huku mitaani maringo ya zamani yanatoweka kabisa.
Ila siku hizi kibongo bongo nahisi kama ile hadhi ya juu waliyokuwa nayo watu waliosomea sheria haipo tena.sijajua tatizo ni nini?.uwepo wa vyuo vingi vinavyo toa LL.B na kusababisha LL.B holders wengi mitaani?.ukosefu wa ajira?.citizen's awereness of some basic rights and the civic education taught by opposition party like CHADEMA throughout the country?. legal knowledge found in google via an easy access of internet?.kiukweli hawa jamaa miaka ya nyuma walikuwa juu sana.kuanzia muonekano wao na uwezo wa kuchambua mambo.what's wrong learned brothers and learned sisters?.