Dr criminal
JF-Expert Member
- May 16, 2022
- 2,282
- 4,316
Sawa mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una uhakika?Kwenye pombe..hapo big NO ..HATA KWENYE UZINZI SINA UHAKIKA ME MKE WANGU KANIFUMANIA MARA MBILI ILA NINAUHAKIKA HAJAWAHI KUNICHIT ILA ASHANITISHIA KWAMBA KWA KUWA NIMEMWAGA UGALI YEYE ATAMWAGA MBOGA..HAPA NABEMBELEZA KILA SIKU SIJUI ATASAHAU HILI FUMANIZI LIVE MOJA LINGINE NIMEKUTWA NA CONDOM MOJA MEANS MBILI NIMEZITUMIA KWA MWINGINE
Naaam karma is realNakuelewa mkali wangu
Ni kweli kabisa wala haipingwi wanaume ku cheat ni jadi yetu.... ila mwanamke ku cheat inauma sana.... yaani maumivu yake hayaelezeki...Mimi kinachonishangaza ni hiki, wanaume ndio wanaongoza kulalamika kisalitiwa, ila sote tunajua hakuna kiumbe msaliti kama mwanaume, hii imekaaje wakuu?
Nilishawahi ndio ila nilijutia kosa.. na namuomba Mungu nisirudie tena.. nimeona ni ujingaJina lako tu tayari ushacheat mkuu
Hii user name niaje[emoji28][emoji28][emoji28]
Ni salamu mkuu kwa kilugha changu.. sio matusi venye mnafikiri"Naantombe"
Hili jina sijui uliwaza nini
Hapo natakiwa kuitika vipi? ...Acholile kachora
Yaah kwa mababu wa zamani nakubali... ila maisha ya sasa ukienda kunywa si unaenda naye? Ni ngumu sana yeye kutokunywa..Napinga hoja yako kwa upande wa unywaji wa pombe, ila kwenye uzinzi upingaji wake ni ngumu kidogo, ipo hivi nimeishi na Bibi na Babu toka utoto, Babu yangu alikuwa cha pombe balaa hachagui hadi mauti yamemkuta Babu alikuwa anakunywa pombe lakini hadi leo Bibi yangu hanywi pombe toka nimezaliwa nimejitambua hadi leo sijawahi muona Bibi yangu akinywa pombe
Na mwanamke akiamua ku cheat ... anakuwa kiumbe hatari sanaHili suala limekaa ki visasi zaidi kuliko kiroho.
Ukiwa mchepukaji smart, mkeo asipojua basi atakuheshimu. Shida ni ukiwa Malaya mwitu afu akuchoke naye anaamua kuchepuka ili muumie wote..
Kwa zamani sawa.. ila siku hizi wote mnatoka pamoja??? anyway sitaki pia kuitetea sana hii point ya pombe maana mwenyewe situmii.. na mke wangu hatumii piaHiyo ya pombe nakupinga vikali
Mwanamke kugongwa nje inauma.... wapemba wanakuambia maumivu yake ni sawa na kuchomwa na kisu cha moto kwenye moyoHii yote ni kwa sababu ya Monika
Umeiweka vizuri sana mkuu... hapo kwenye ku cheat na mwanamke mwenye roho ya Jezebeli nimekuelewa...Na ndo maana tunatakiwa tuwe wacha Mungu. Panapokuwa na mbegu ya Imani iwe kwa mme au kwa mke lazima Mungu atasimama.
Tatizo tunaishi maisha ya kuigiza sana. Imani zetu za mchongo. Nionekane naenda kanisani..nibebe biblia ionekane. Usiku nisali kwa nguvu. Nikifunga nitangaze..sadaka nitoe huku najipiga selfie au nachukua video. Yani tunaishi wokovu wa mchongo sana. Biblia zina vumbi..mas haf zina vumbi. Miswala imewekwa kabatini.
Nilishasema na narudia. Mwanamke ukiolewa na husali wala kuswali anza mapema kutafuta kitanzi. Naongelea kushika imani haswa sio maigizo ya mtandao. Kisa umeenda kanisani jumapili basi whatsapp tunakukoma. Au kuandika verses of the bible huku hauziishi..hahaa Mungu hadhihakiwi.
Au wewe ijumaa unajipostisha na shungi ijumaa kareem. Aisee ndoa bila Mungu jameni hamna kitu. Najua wengi mnajua hili ila mnachagua kukaidi. Wengi huwa mnachagua the interesting part of the bible kuwa mwanamke amtii mume.. lakini em niwapeleke kwenye mwanzo. Mungu akamuumba Adam afu akampa usingizi mzito ndo kumuumba Hawa alafu akamleta kwa Adamu. Mwa2:22.
Kwaiyo ili wewe ukutane na mwanamke anaekufaa lazima Mungu amuumbe na ili wewe ukutane na mume lazima Mungu akupeleke kwake. So to meet your Adam know God first. To meet your Eve know God first. Hio ni kanuni na msingi mkuu wa ndoa. Sasa basi....mwanaume aenda chepuka kalala na mwanamke mwenye roho ya jezebel..anakuja mke husali, hufungi unajidanganya am under Grace, au only God can judge me huku kusali husali...unategemea nini. Lazima roho ikuvae. Utaacha sasa kuwa mzinzi??? Wengi huwa wanajidanganya ooh anacheat na mimi nacheat..kumbe kuna jipepo lishakuja zamaniii limeletwa na mwenye kuyaleta.
Mhhh hapo kuwa mwangalifu mkuu... anakulia timing na wakianzaga ku cheat wanakuwa viumbe hatari sana ..Kwenye pombe..hapo big NO ..HATA KWENYE UZINZI SINA UHAKIKA ME MKE WANGU KANIFUMANIA MARA MBILI ILA NINAUHAKIKA HAJAWAHI KUNICHIT ILA ASHANITISHIA KWAMBA KWA KUWA NIMEMWAGA UGALI YEYE ATAMWAGA MBOGA..HAPA NABEMBELEZA KILA SIKU SIJUI ATASAHAU HILI FUMANIZI LIVE MOJA LINGINE NIMEKUTWA NA CONDOM MOJA MEANS MBILI NIMEZITUMIA KWA MWINGINE
Mmmmh sidhani mkuu.. embu fuatilia story vizur.. Maana masanja unajua kaoa kitambo sana ... sasa unataka kuniambia jamaa alikuwa anabembeleza huyo manzi miaka yote hiyo halafu kaamua kujiua juzi????Masanja huyo mke wake kabla hawajaoana si ndo mwamba alikuwa Anatoka nae na alipoolewa yakaishia hapo mapenzi yy anafufua vitu havipo ameshindwa ku move one mtu ashaolewa. Sio kwamba kachepuka No ndo nlivo elewa. Naomba kusahihishwa
Ndugu yangu... kwahiyo ikiwa kiroho ndo kwamba haiwezi kuwa kweli?.. labda kama wewe uniambie huna dini... ila kama una dini, unatakiwa kufahamu kwamba kuna mambo ambayo yanatokea duniani kiroho.. ina maana huwez kuyaona kwa macho ya nyama.. ila yanatendekaUmeshasema KIROHO, kwa kifupi ni "dhahania" hakuna uhalisia
Kama hujui kitu kaa kimya weweMasanja huyo mke wake kabla hawajaoana si ndo mwamba alikuwa Anatoka nae na alipoolewa yakaishia hapo mapenzi yy anafufua vitu havipo ameshindwa ku move one mtu ashaolewa. Sio kwamba kachepuka No ndo nlivo elewa. Naomba kusahihishwa