Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Mtafunwa hutafuniwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah, ndio nimesema hapo juu. Kama ni kucheat kiroho anakosema mleta mada ambapo sijui ni kufanyaje, inawezekana, Lakini kimwili, kwa maana ya kuchepuka, wanachepuka tu!Sio kweli.
Wanawake hawatabiriki.
Kuna Wanaoolewa mpaka Ndoa za mitaala na wametulia. MTU anaweza akawa hachepuki LAKINI mkewe akawa na wazo kichwani kuwa hakuna mwanamme asiyechepuka. Hili nalo unalisememaje. Kuna Wanaume wako bize tu na mambo Yao Halafu wake zao wanapata mwanya Wa kuchepuka.
Rejea Adamu na Eva.
Walikua Wawili tu Lakini Eva alitoroka na kwenda kucharti na Nyoka na kumdadisi Nyoka juu ya Tunda walilokatazwa.
Shetani alijua tamaa ya Mwanamke Siku zote ni Kupata Kila anachokitaka . Akamwambia kuwa akila lile tunda atakuwa Sawa na MUNGU. Mwanamke anachepuka kutokana na aina ya Mwanaume aliyemtongoza. MWANAUME AKISHAJUA udhaifu Wa mwanamke Fulani na tamaa yake basi Hata Angekua ameolewa na Malaika atampata tu. Ndio MAANA Biblia imekataza Hata kumtamani MKE Wa MTU.
MTU akimtamani MKE Wa MTU na akamfuatilia Huku akijua udhaifu wake haijalishi tabia ya Mumewe ikoje. Kuna Wanaume Wazinzi sana Lakini wamebahatika kuoa wanawake waliotulia sana. Inatokea tu kama bahati mana Kila mmoja Ana kiungo chake na mwenye maamuzi ya kukitumia ni mtu mwenyewe.
Niko pamoja na ww mm nilikua napiga mtungi ila wife hata harufu alikua hataki kusikia anaham kulala na watoto mbona nimeacha mwenyewe.Hiyo ya pombe nakupinga vikali
Mimi natumia wife hajawahi hata kutamani kuonjaKwa zamani sawa.. ila siku hizi wote mnatoka pamoja??? anyway sitaki pia kuitetea sana hii point ya pombe maana mwenyewe situmii.. na mke wangu hatumii pia
Issue ya ku cheat pia naona imekaa kiroho zaidi. Mwanaume ukiwa unachepuka maana yake unakaribisha roho ya uzinzi kwenye nyumba.Hii nakupa chukua..
Hamna uchafu unaokuja mahali pasafi hata siku moja. Ndo maana unakuta mtu kama roho yako imejaa Yesu, mtu hata akuendee kwa waganga hakupati... hii pia nakupa chukua.
Issue ya ku cheat pia naona imekaa kiroho zaidi. Mwanaume ukiwa unachepuka maana yake unakaribisha roho ya uzinzi kwenye nyumba.
Na unajua haya mambo ya kiroho yalivo, energy ya uzinzi ukishaichukua ni rahisi sana kumpa mwenzi wako. Ni kama spirit fulani hivi.
Chunguza pia mtu aliyeolewa na mchawi au aliyeoa mchawi at the end of the day lazima na wewe utaambukizwa nguvu za kichawi just kulala na yule mtu.
Ni kama ukute mume ni mlevi wa pombe, haitachujua muda mke na yeye lazima awe mlevi.. maana ile roho ya ulevi ya mumewe ni rahisi ku i transfer kwa mkewe..
Ko mwisho wa siku hii issue ya Masanja naamini ni reflector kwamba na yeye sio msafi kwenye hiyo idara.. Ni kwamba tu hajafumwa hadharani.
Naacha hii mada kama working paper.. Ningependa ROBERT HERIEL na Mshana Jr waidadavue zaidi...
Kwahiyo masanja alimchukua X wa mkewe na kumfanya katibu wake?Masanja huyo mke wake kabla hawajaoana si ndo mwamba alikuwa Anatoka nae na alipoolewa yakaishia hapo mapenzi yy anafufua vitu havipo ameshindwa ku move one mtu ashaolewa. Sio kwamba kachepuka No ndo nlivo elewa. Naomba kusahihishwa
Na ndo maaana uzinzi umekatazwa. Sio kwamba Mungu alikua hajui kuna maku tamu na wanaume watazitamani...walaa...alikua anataka watu wasimame katika Imani ili kuilinda nyumba.Umeiweka vizuri sana mkuu... hapo kwenye ku cheat na mwanamke mwenye roho ya Jezebeli nimekuelewa...
Na ambacho watu hawajui ni kwamba roho ni energy ambayo huwa inatabia ya kusafiri.
Vizur sana mkuu
Wanaume tunaongozwa na tamaa haturidhiki kuwa na mwanamke mmoja. Ila tunajitahidi kuwacheat kwa heshima kimyakimyaMimi kinachonishangaza ni hiki, wanaume ndio wanaongoza kulalamika kisalitiwa, ila sote tunajua hakuna kiumbe msaliti kama mwanaume, hii imekaaje wakuu?
Metaphysics unazungumzia material reality mkuu, hakuna roho hapo.Ndugu yangu... kwahiyo ikiwa kiroho ndo kwamba haiwezi kuwa kweli?.. labda kama wewe uniambie huna dini... ila kama una dini, unatakiwa kufahamu kwamba kuna mambo ambayo yanatokea duniani kiroho.. ina maana huwez kuyaona kwa macho ya nyama.. ila yanatendeka
Ndo mana ya kuwa na ideology ya metaphysics
Meta physics si ulimwengu usioonekana? abstract concepts au??Metaphysics unazungumzia material reality mkuu, hakuna roho hapo.