Kiroho, kama humsaliti mke wako yeye pia hawezi kukusaliti

nishakutwa na condom moja na wife,nikajitetea kuwa tulikua na semina juu ya uvaaji sahihi wa condom toka TACIADS na aliponiuliza km ni hivyo mbona ipo 1 badala ya 2 nikamjibu nilikosea 1 jinsi ya kuivalisha kwenye ile mb** ya bandia ndio wakanitaka nirudie upya. Na akanielewa ila moyoni najua black & white.
 
Una uhakika?
 
Mimi kinachonishangaza ni hiki, wanaume ndio wanaongoza kulalamika kisalitiwa, ila sote tunajua hakuna kiumbe msaliti kama mwanaume, hii imekaaje wakuu?
 
Mimi kinachonishangaza ni hiki, wanaume ndio wanaongoza kulalamika kisalitiwa, ila sote tunajua hakuna kiumbe msaliti kama mwanaume, hii imekaaje wakuu?
Ni kweli kabisa wala haipingwi wanaume ku cheat ni jadi yetu.... ila mwanamke ku cheat inauma sana.... yaani maumivu yake hayaelezeki...

Ukivuta picha mwanamke wako alivo mzuri halafu ndo lijamaa linamgaragaza kitandani.. ni maumivu mazito mnoo..
 
Yaah kwa mababu wa zamani nakubali... ila maisha ya sasa ukienda kunywa si unaenda naye? Ni ngumu sana yeye kutokunywa..

Wazee wa zamani walikuwa hawana utamauni wa kutoka na wake zao
 
Hili suala limekaa ki visasi zaidi kuliko kiroho.

Ukiwa mchepukaji smart, mkeo asipojua basi atakuheshimu. Shida ni ukiwa Malaya mwitu afu akuchoke naye anaamua kuchepuka ili muumie wote..
Na mwanamke akiamua ku cheat ... anakuwa kiumbe hatari sana
 
Kuna kaukweli kwenye hiyo ya dhambi huvuta dhambi ila kuhusu huo mfano wa Masanja inategemeana huwezi kujua kama alieingiza dhambi ndani ya ndoa ni masanja au mkewe ....Na siku zote wa kwanza kuingizaga dhambi ndani ndo huwa wa kwanza kufumwa ikiwa mwenzake ametulia.

Uchafu hujionesha kwa haraka sehemu safi.
 
Umeiweka vizuri sana mkuu... hapo kwenye ku cheat na mwanamke mwenye roho ya Jezebeli nimekuelewa...

Na ambacho watu hawajui ni kwamba roho ni energy ambayo huwa inatabia ya kusafiri.

Vizur sana mkuu
 
Mhhh hapo kuwa mwangalifu mkuu... anakulia timing na wakianzaga ku cheat wanakuwa viumbe hatari sana ..

Anaweza hata akakutoa roho
 
Masanja huyo mke wake kabla hawajaoana si ndo mwamba alikuwa Anatoka nae na alipoolewa yakaishia hapo mapenzi yy anafufua vitu havipo ameshindwa ku move one mtu ashaolewa. Sio kwamba kachepuka No ndo nlivo elewa. Naomba kusahihishwa
Mmmmh sidhani mkuu.. embu fuatilia story vizur.. Maana masanja unajua kaoa kitambo sana ... sasa unataka kuniambia jamaa alikuwa anabembeleza huyo manzi miaka yote hiyo halafu kaamua kujiua juzi????
 
Umeshasema KIROHO, kwa kifupi ni "dhahania" hakuna uhalisia
Ndugu yangu... kwahiyo ikiwa kiroho ndo kwamba haiwezi kuwa kweli?.. labda kama wewe uniambie huna dini... ila kama una dini, unatakiwa kufahamu kwamba kuna mambo ambayo yanatokea duniani kiroho.. ina maana huwez kuyaona kwa macho ya nyama.. ila yanatendeka

Ndo mana ya kuwa na ideology ya metaphysics
 
Masanja huyo mke wake kabla hawajaoana si ndo mwamba alikuwa Anatoka nae na alipoolewa yakaishia hapo mapenzi yy anafufua vitu havipo ameshindwa ku move one mtu ashaolewa. Sio kwamba kachepuka No ndo nlivo elewa. Naomba kusahihishwa
Kama hujui kitu kaa kimya wewe
 
Jichanganye tuu utakuja kutoa mlio wa fisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…