KIROHO, Mbowe sio mwenyekiti hata akishinda hivyo kama yupo na Baba wake wa kiroho amsaidie kumpatia haya mafunuo.

Ezra cypher

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2024
Posts
244
Reaction score
904
Kikawaida kinachomweka MTU madarakani au kumpa kibali huwa ni nature .

Na nature huwa inazungumza na watu Kwa majira tofauti , tofauti.

Hivyo nature ilimchagua Lissu na kumpitisha kuwa Mwenyekiti.

Endapo atalazimisha Kwa kuikataa sauti ya ndani , sio utawala wale utakumbwa na misukosuko bado hatifanikiwa Kwa lolote Kwa miaka yake mitano.

Hii iliwahi kumtokea kiongozi mmoja Kwa sasa ni marehemu alilazimisha kuwa rais Kwa gharama yoyote Ila hakufanikiwa kutawala.

So viongozi wa kiroho msaidie Mh MBOWE ili apate haya mafuno.
 
Mbowe kwa ubinafsi wake pamoja na CHAWA wake, wameamua kuigeuza CHADEMA kuwa kama UDP ya Cheyo, TLP ya Mrema, na CUF ya Lipumba!! Kwa hali hii wapinzani kamwe hawawezi kutawala hii nchi.

Maana wamejawa tu na ubinafsi, unafiki, uroho wa madaraka, na uchumia tumbo.
 
Mbowe amekataliwa na watanzania, hivyo hana kibari cha Mungu.
 
Wenyeviti wamepaka gundi.
1734800869573.jpg
 
Wasisi wa chadema hawakuanza chama cha kushika dola bali taasisi a kukusanya fedha. Mbowe yupo kwenye biashara ya siasa
 
Kikawaida kinachomweka MTU madarakani au kumpa kibali huwa ni nature .

Na nature huwa inazungumza na watu Kwa majira tofauti , tofauti.

Hivyo nature ilimchagua Lissu na kumpitisha kuwa Mwenyekiti.

Endapo atalazimisha Kwa kuikataa sauti ya ndani , sio utawala wale utakumbwa na misukosuko bado hatifanikiwa Kwa lolote Kwa miaka yake mitano.

Hii iliwahi kumtokea kiongozi mmoja Kwa sasa ni marehemu alilazimisha kuwa rais Kwa gharama yoyote Ila hakufanikiwa kutawala.

So viongozi wa kiroho msaidie Mh MBOWE ili apate haya mafuno.
..mtu mjinga huwa anafanya ref. za kijinga km hizi, Mbowe amekaa ukonga miezi 8 wakati wewe ukilaza mapumbu nymbn..peleka vitisho vyako vya kitoto kwa waliokupa hizo cent.
 
Back
Top Bottom