Kiroho Simba imekufa Jeneza walilotumia Simba day bado litawatesa sana

Kiroho Simba imekufa Jeneza walilotumia Simba day bado litawatesa sana

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Salaam wakuu

Leo tulejee sakata tarehe 9/8/2022 la Simba kutumia Jeneza kwenye maadhimisho ya Simba day

Nini maana ya Jeneza
Kiroho maana yake ni kifo/ uangamizo/ umauti

So kitendo cha uongozi wa timu ya Simba kuruhusu kutumika Kwa Jeneza kwenye sherehe yao kilinihuzunisha sana Kwa sisi wazee wa kale tunaelewa kuwa .....pale timu ya Simba ilijiua na ikajizika yenyewe [emoji24] hivyo basi kwenye ulimwengu wa kiroho , Simba haiexist .....it means ilishakufa, nlishangaa kuona Mshana Jr hajakemea hili[emoji32][emoji32]

Hivyo basi......Simba haitopata mafanikio yeyote hapa ndani ya ligi Kwasababu ilishakufa....but other factors remain constant....ie mashindano ya kimataifa.....since uchaw hauvuki bahari

Je ni Yanga ....walipenyezesha idea hii ya Simba kutumia Jeneza??? Sawa na mtu anakupa bastora ujipige but anakudanganya Haina bullets???
1728194744769.jpg


Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Kweli wamekitia nuksi hilo jeneza na Ile kauli Yao ya
Ubaya ubwela Yani ubaya umerudi

Kama waliona mwaka huu Wana timu nzuri ilitakiwa kauli Yao iwe

Utamu ubwela
 
Back
Top Bottom