Wauzaji wa containers
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 615
- 1,443
Unawezaje kujua kuwa huu ndo wakati wa MUNGU?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pale unapopitia misukosuko kama NABII ELIA alaf ukatoboa,ndo utajua!!Unawezaje kujua kuwa huu ndo wakati wa MUNGU?
Wakati wa Mungu katika jambo lolote lile, mambo yote hutokea kwa wepesi na kwa kwa mtiririko usiohitaji jitihada nyingi za wanadamu. Au kwa maneno mengine wakati wa Mungu ukifika mambo yaliyoshindikana au kukwama kwa muda mrefu hutokea bila kikwazo au ugumu wowote.Unawezaje kujua kuwa huu ndo wakati wa MUNGU?
Thank youWakati wa Mungu katika jambo lolote lile, mambo yote hutokea kwa wepesi na kwa kwa mtiririko usiohitaji jitihada nyingi za wanadamu. Au kwa maneno mengine wakati wa Mungu ukifika mambo yaliyoshindikana au kukwama kwa muda mrefu hutokea bila kikwazo au ugumu wowote.