LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Feisal ndio mchezaji anae ongoza kwa kupewa sifa ambazo hana..
Mashabiki wa Yanga= Feisal hawezi cheza timu yoyote nje ya Yanga akitoka Yanga anaenda Madrid.
Manara = Feisal sio mchezaji wa nchi hii.
Amunike = Feisal anatakiwa kuchezea Barcelona.
But ndio uhalisia huo? Sio kweli.
Ukweli ni kwamba Feisal sio mchezaji hatari kihivyo isipokuwa tu ni mchezaji aliye kuwa na nyota ya kupendwa na mashabiki wa Yanga..
Sababu za kiroho kwanini FEISAL anapewa sifa hizo?
Wote tunajua wachezaji wa mpira wa miguu wengi wao.ni washirikina.
Wanapoenda kuloga kwa waganga huwa kuna Manuizi wanajitamkia au kutamkiwa na mganga husika.
Mfano:
1. Nipendwe na Simba na Yanga ( kwa mchezaji wa timu za chini/ ukiona mchezaji katoka timu ya chini kaenda Simba au Yanga basi jua kafara limetiki)
2. Nipendwe na KILA.kocha atakae kuja kufundisha timu yangu.
3. Niwe mchezaji tegemezi. Asiwepo mtu wa KUCHUKUA namba yangu.
4. Nifunge KILA mechi au nisifungwe kwenye mechi yoyote.
5. Nipendwe na viongozi na mashabiki.
6. Nikachezee Madrid, Barcelona, Man U etc.
SASA BASI hayo Maneno kuhusu Feisal sijui ana kiwango cha Barcelona blah blah ni echo ya Maneno yaliyo tamkwa kilingeni.
Huko kupendwa na kuonekana bila yeye Yanga Sikitu kama jina la Shangazi yangu ni matokeo ya Maneno ya kupandishwa nyota yaliyo fanyika kilingeni...
Jiulize: Tangu lini Feisal amekuwa mchezaji wa kutegemewa Yanga?. Feisal anategemewa Yanga kuliko Mayele?
Feisal unaweza kumlinganisha na Sure Boy.
Sureboy ni mfano wa mchezaji ambae anapendwa KWA sababu ya kiwango chake kikubwa.
Hizo sifa za Feisal ana stahiki kupewa Sure Boy. Kama unabisha subiri uone atakacho kionyesha akiwa na Azam.