Kiroho zaidi: Wazee mliopewa mechi ya Yanga kumbukeni sfaili hii ya ulozi ya kubadilisha jina la mpinzani

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Hii ni kanuni katika uchawi ambayo inatumika toka enzi za Pontyo wa Pilato. Ni hivi unapo ingia Vitani na mshindani mwenye nguvu unatakiwa kwanza kumbadilisha jina lake. Usidhindane na mshindani wako mwenye nguvu kwa kumtaja jina lake ambalo of course lina nguvu na historia.

During Lucifer's rebellion in the Heavens ili Mungu amshinde Lucifer ilimbidi kwanza am rename amuite shetani na malaika wote walio asi pamoja nae awaite mapepo ndio at least akafanikiwa walau kuwa push back from thw heavens to this realm but vinginevyo vita hiyo hasi leo ingekuwa inapigwanwa kwa sababu Lucifer is the most powerful name both in the heavens and on earth.

So watu wa kamati ya ufundi wa Yanga lazima mzingatie hii kanuni.

First of all you have to give them another name, a name which u have power over it.

For example wapeni jina Mtibwa au KMC.

Like " Nyinyi sio Mamelodi Sundowns ila nyinyi ni Mtibwa" we decree and declare that ur nothing to us but Mtibwa.

Na majina muwabadilishe kabisa wapeni majina ya wachezaji wa mtibwa mkiwa mnafanya mambo yenu au majina yoyote dhaifu.

Washusheni kinyota kutoka kwenye Umamelody hadi kwenye u Mtibwa so mnapoiingiza timu uwanjani inakuwa inaenda kucheza na Mtibwa sio Mamelody.

Hala Young Africans.

UP DATE : TAYARI NIMEANZA MIMI RASMI KWENYE MECHI YA YANGA VS MAMELODY HAWATAITWA MAMELODY BALI WATAITWA MTIBWA.

OLE WAKO UWAITE MAMELODY KWENYE UZI WANGU. WANAITWA MTIBWA.

RASMI IN THE REALM OF THE SPIRIT HIYO TAREHE 20 ITAKUWA NI YANGA VS MTIBWA.

ALI KAMWE CHUKUA HII
 
Kama utaalam wao ni wa kutoa kafara za binadamu wameshafeli mapema.......hii ni kwa timu zote za hapa nyumbani, wafanye mengine ila sio mambo yao ya ki freemason
 
Mpira ni sayansi na uwekezaji, hayo majini yenu na ushetani wenu hauwezi fua dafu mbele ya mwenye timu bora.

Wekezeni kwenye sayansi ya michezo kwa kusajili wachezaji bora, wataalamu wa utimamu wa mwili wa daraja la juu na kuboresha miundombinu ya uwanjani mtafanikiwa.

Yanga na Simba zote zimeshafika mwisho, hakuna atakayeenda nusu fainali.
 
Kinachofanyika hapo ni sawa sawa na vita ya maji maji, Kinjikitile alipojifanya mganga ilimradi kuwapa ujasiri wapambanaji. Hiyo uliyoyaandika hapo sio uchawi bali ni namna ya kuondoa hofu dhidi ya mpinzani aliyekuzidi kwa kila kitu.
 
Sio kweli ni uchawi kama uchawi mwingine mkuu hata wewe unaweza kurogwa kwa staili hiyo.

Hivi kwa mfano kama Mimi na wewe tuna vita ya kugombania mwanamke halafu Mimi nikafanya fitna nikatumia watu mtaani kueneza uzushi kwamba wewe ni shoga na nikahakikisha hadi ukweni kwenu wanajua ntakuwa nimekushinda au sija kushinda? In addition to that nakutupia na jini juu
 
Hii ni kanuni katika uchawi ambayo inatumika toka enzi za Pontyo wa Pilato. Ni hivi unapo ingia Vitani na mshindani mwenye nguvu unatakiwa kwanza kumbadilisha jina lake. Usidhindane na mshindani wako mwenye nguvu kwa kumtaja jina lake ambalo of course lina nguvu na historia.

During Lucifer's rebellion in the Heavens ili Mungu amshinde Lucifer ilimbidi kwanza am rename amuite shetani na malaika wote walio asi pamoja nae awaite mapepo ndio at least akafanikiwa walau kuwa push back from thw heavens to this realm but vinginevyo vita hiyo hasi leo ingekuwa inapigwanwa kwa sababu Lucifer is the most powerful name both in the heavens and on earth.

So watu wa kamati ya ufundi wa Yanga lazima mzingatie hii kanuni.

First of all you have to give them another name, a name which u have power over it.

For example wapeni jina Mtibwa au KMC.

Like " Nyinyi sio Mamelodi Sundowns ila nyinyi ni Mtibwa" we decree and declare that ur nothing to us but Mtibwa.

Na majina muwabadilishe kabisa wapeni majina ya wachezaji wa mtibwa mkiwa mnafanya mambo yenu au majina yoyote dhaifu.

Washusheni kinyota kutoka kwenye Umamelody hadi kwenye u Mtibwa so mnapoiingiza timu uwanjani inakuwa inaenda kucheza na Mtibwa sio Mamelody.

Hala Young Africans.

UP DATE : TAYARI NIMEANZA MIMI RASMI KWENYE MECHI YA YANGA VS MAMELODY HAWATAITWA MAMELODY BALI WATAITWA MTIBWA.

OLE WAKO UWAITE MAMELODY KWENYE UZI WANGU. WANAITWA MTIBWA.

RASMI IN THE REALM OF THE SPIRIT HIYO TAREHE 20 ITAKUWA NI YANGA VS MTIBWA.

ALI KAMWE CHUKUA HII
Hawa mtibwa hawana historia kubwa mbele ya Yanga watapigwa na washirika wao wataona aibu... Ili kuficha fedheha watasema hata hivo mtibwa ikifikaga robo fainali hua inakua mlenda [emoji2957]
 
Back
Top Bottom