Kiruka njia??

Kiruka njia??

Kiruka njia unaruka ruka tu kama kungulu. Mara mmu mara chit chat mara umerukia love connect.
Babu nimekupa mifano hai halafu ole wako useme hujaelewa.
Lecturer
husninyo.
 
DC mimi nina mkakati naomba Mungu anijalie pumzi. JE Saccos ikikaa vizuri, nitaenda kutembeea wale wadada mtaa wa OHIYO, OYTERBAY na kwingineko. Nikae niongee nao nione wale wenye utashi wa kuacha na kufanya bishara basi tutawasiaidi kwa njia hiyo uone kama kutakuwa na malaya yoyote mji huu.

Wale wenye mguso kwa hili ebu tukamatane mikono kuwasaidia wenzetu, ile hali hawaipendi hawana jinsii. Ukona wewe unakula na kushiba mshukuru Mungu kuna watu kula kwao ni tabu, inafikia hatua anaamua kwenda kufanya vitu ambavyo sivyo. haya kwa wale wenye kukerwa na tabia hiyo na hizi NAME CALLING ziishe. Vitu vingine havihitaji PESA ni roho ya kuona mateso ya wengine na kuwasaidia. Kuna makanisa wana moyo wa kusaidia ila hawa watu hawawezi kujipeleka wenyewe huko wanahitaji watu wa kuwashawishi mpaka wafike huko. Na wewe ni mmoja wapo lets try this.
 
DC katika mambo magumu ni kutaka kumuelewesha mtu mwenye hisia tofauti kwako. Mimi kama Carol siwezi ishi na mtu ambaye ni kero kwangu, sina hisia nae, amenidhalilisha kwa namna moja au nyingine. Kuishi ni kuchagua jinsi gani uendeshe maisha yako wewe kama wewe. Ukianza kuangalia nini community inavyokuchukulia nafikiri utakuwa unapoteza muda wako.

Binadamu ana kawaida ya kufanya kila wazo lake analofikiria kwa mtu au kwake mwenyewe kuwa sahihi. Ebu DC nenda pale mtaa wa OHIYO waulize kwa nini wanasimama pale. Kila mmoja akianza kukupa historia ya maisha yake utalia machozi. Ila tayari kabla ya kujua nini tatizo lao, mlishawapachika majina mengi tu (malaya, Changudoa, maharage ya mbeya etc).

Kila kitu kia sababu siyo wote wanafanya vitu fulani kwa utashi wao wenyewe ni hali tu.

Carol,

Nakuelewa sana ndugu yangu. Ila nadhani utakubaliana nami kwamba kuna majina tunajikuta tunayatumia bila kujijua kwamba tayari tumeingina kwenye mtego wa name calling!

Pamoja na kwamba hilo ni tatizo kubwa katika jamii zetu na litachukua muda kuisha....binafsi nina tatizo na watu wanaojitangazia hukumu hata kabla hawajasomewa tuhuma zao!! Hao nadhani wanahitaji msaada mkubwa sana!
 
DC mimi nina mkakati naomba Mungu anijalie pumzi. JE Saccos ikikaa vizuri, nitaenda kutembeea wale wadada mtaa wa OHIYO, OYTERBAY na kwingineko. Nikae niongee nao nione wale wenye utashi wa kuacha na kufanya bishara basi tutawasiaidi kwa njia hiyo uone kama kutakuwa na malaya yoyote mji huu.

Wale wenye mguso kwa hili ebu tukamatane mikono kuwasaidia wenzetu, ile hali hawaipendi hawana jinsii. Ukona wewe unakula na kushiba mshukuru Mungu kuna watu kula kwao ni tabu, inafikia hatua anaamua kwenda kufanya vitu ambavyo sivyo. haya kwa wale wenye kukerwa na tabia hiyo na hizi NAME CALLING ziishe. Vitu vingine havihitaji PESA ni roho ya kuona mateso ya wengine na kuwasaidia. Kuna makanisa wana moyo wa kusaidia ila hawa watu hawawezi kujipeleka wenyewe huko wanahitaji watu wa kuwashawishi mpaka wafike huko. Na wewe ni mmoja wapo lets try this.

Ni mpango mzuri ila uwe tayari kwamba katika hao utaokusanya, kutakuwa na baadhi ambao hawawezi kuacha hiyo kitu hata ukiwapa milioni ngapi. Hata hivyo ni muhimu kuwasaidia wale ambao kweli wanahitaji msaada.

I can guarantee you my support!
 
Asante sana, nina uhakika kwamba wengii hawapendi kuwa hivyo walivyo ni matatizo. kwa wale wenye mapenzi na hiyo kazi basi wao wataendelea lakini wale wenye moyo basi tutawapeleka kunako.

Mimi nina uhakika 100% na nitakutafuta kukwambia ni kiasi gani nimefanikiwa.
 
Judgment kwamba haiwezekani huwa sikubaliani nayo, nafikiri ni wakati wa kuweka vitu kwenye vitendo ili unapoongea unakuwa na uhakika na kile kitu unachosema.

Lets try and see, u never know Mwenyezi Mungu akawagusa.
 
Asante sana, nina uhakika kwamba wengii hawapendi kuwa hivyo walivyo ni matatizo. kwa wale wenye mapenzi na hiyo kazi basi wao wataendelea lakini wale wenye moyo basi tutawapeleka kunako.

Mimi nina uhakika 100% na nitakutafuta kukwambia ni kiasi gani nimefanikiwa.

Sawa dada,

Unaweza kuanza practially au kufanya utafiti kwanza...Inategemea na passion yako.

Pamoja na mimi mwenyewe, naamini kuna wadau wengi sana watakaokuwa tayari kukuunga mkono!
 
Back
Top Bottom