Kirumba, Mwanza: Mbao FC yaifunga Yanga 1-0 na kutinga Fainali za FA

Kirumba, Mwanza: Mbao FC yaifunga Yanga 1-0 na kutinga Fainali za FA

Yanga tegemeeni ushindi ambao haupo. Mbao tuliwafunga kwa ufundi mkubwa.Hata wakifika fainali tutawafunga ili tukawaonyeshe sisi ni washindani kimataifa na sio wawakilishi wa kujisifia madege ya watu.
Mliwafunga lini mbao?
Ile mechi mlimnunua kipa wa mbao thats why aliachia yale magoli, uliza kama yule kipa bado yupo mbao fc
 
Na watafungwa kweli hao simba, mbao wako vizuri sana na yule kipa waliyemnunua last match ameshatimuliwa, wajiandae tu

Kwahiyo unadhani ' Ubao ' uliokung'ang'ania Wewe ( Yanga ) basi na sisi wengine tutauruhusu utung'ang'anie? Halafu ' Wataalam ' wa ' maafa ' wanasema kuwa ni rahisi mno kuzitoa ' mbao ' mbili au tatu ' Shimoni ' kama zikizama kuliko kuitoa ' mbao ' moja ikikuzamia kwani wanasema kuwa huwa inang'ang'ania na kung'ang'ana kunakotukuka.
 
Mama mimi ni yanga na nilikuwepo uwanjani, nimekubali tumefungwa, kiukweli wapiga randa wako vizuri wamatopeni a.k.a walalamishi wajipange. Na hiyo mechi tff waipeleke nje ya dar ili mkia achezee kichapo vizuri

Tunawaomba sana TFF waipange tuicheze katika ' Bwawa ' lenu lile la Kaunda ili tukishamaliza kuwafunga Mbao FC basi tuweze pia ' Kuogelea ' na kuipoza miili yetu baada ya ushindi.
 
Mliwafunga lini mbao?
Ile mechi mlimnunua kipa wa mbao thats why aliachia yale magoli, uliza kama yule kipa bado yupo mbao fc

Sawa hata kama unasema kuwa tuliinunua ile mechi je naomba kuuliza ule ' Ubao ' wa matangazo ' score board ' ulisema nani kashinda siku ile? au ule mpira uliishaje kimatokeo? Naona ' Mbao ' imejisokomeza mno leo.
 
Wala haikuwa uongo mkuu
Yanga fc mnaongea sana as if hata huko kimataifa kuna la maana mmefanya, miaka yote mwaishia juu juu tu........... Subiri tuwaonyeshe sasa kwenye confederation cup this time ili nanyi mjifunze kitu
 
d8c47ba464f796b149ab7ce7c6e49883.jpg
 
Hao mbao wanakuja

Kama shabiki wa kutupwa wa Yanga,sina wasiwasi kabisa.
Naamini tunaumaliza mchezo kipindi cha kwanza...sisi sio watani wetu wanaosubiri kipindi cha pili ndipo 'wabahatishe' kushinda,mostly ushindi mwembamba.

Tukutane hapa saa 10 guys.
Makoye Matale Bantu lady Mbulu data nasmapesa nyumba tatu Mwana Mtoka Pabaya demigod Mgagaa na Upwa espy Monicca mkolaj Sibonike Danny greeny Matola na Wanajangwani wote tuwe hapa kuusindikiza ushindi tusiwe kama watani zetu wasio na matumaini ya ushindi wa ndani ya dakika 90,hadi mpira uishe (tena washinde) ndio wavamie jukwaa hahahaaaaaa

Viva Yanga [emoji123]
 
Siyo kwamba yanga wamekimbia wasikutane na simba lahasha.. Nikwamba ss wachana mbao tumemchana chana yanga vipande vipande sasa imebakia zamu ya simba ..ninaimanikubwa sana kuwa simba tutaichana chana nakuipiga landa vizuli kabisa
 
Back
Top Bottom