Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwihi.. Bwihi.. [emoji16] [emoji16] Omba Omba FCNjaa imewaua Bakuli fc
Ambalo wamezikwa nalo.. [emoji16] [emoji16]Mbao imetumika kutengeneza Jeneza la Yanga.
Toto Africa siipendi toka moyoni wapo kuwapa points Yanga tu!!!Niwapongeze Mbao ni timu ambayo inaweza kufika mbali, katika Mkoa wa Mwanza kwa maana kuwa kila timu wanayopambana nayo hasa Simba na Yanga,nia yao ni ushindi tu. Tofauti na Toto Africa ni timu ya kipuuzi mno wao msimu mzima maandalizi yao ni mechi moja tu.
Heri ishuke daraja waende chini kule..!
Zilongwa mbali zitendwa mbaliWana simba kaeni makini zamuyenu imekalibia asila tulizo nazo tutawapiga 5 ck yhiyo ya fainali jiandaeni kuzipokea
Jamani eeeeh,asiyekubali kushindwa si mshindani.
Nimekubali tumeshindwa,tumejaribu lakini bahati haikuwa yetu maana hata goli tumejifunga wenyewe.
Safi kabisa binti. Dawa ya feni kulipa
Uko wapi sikuoni [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama shabiki wa kutupwa wa Yanga,sina wasiwasi kabisa.
Naamini tunaumaliza mchezo kipindi cha kwanza...sisi sio watani wetu wanaosubiri kipindi cha pili ndipo 'wabahatishe' kushinda,mostly ushindi mwembamba.
Tukutane hapa saa 10 guys.
Makoye Matale Bantu lady Mbulu data nasmapesa nyumba tatu Mwana Mtoka Pabaya demigod Mgagaa na Upwa espy Monicca mkolaj Sibonike Danny greeny Matola na Wanajangwani wote tuwe hapa kuusindikiza ushindi tusiwe kama watani zetu wasio na matumaini ya ushindi wa ndani ya dakika 90,hadi mpira uishe (tena washinde) ndio wavamie jukwaa hahahaaaaaa
Viva Yanga [emoji123]
Sawa mkuu vipi yule golikipa aliyefungwa nane na yanga bado yupo kagera?Mliwafunga lini mbao?
Ile mechi mlimnunua kipa wa mbao thats why aliachia yale magoli, uliza kama yule kipa bado yupo mbao fc
Anzeni kupekua hadi kadi za clinic labda kuna wachezaji wa Mbao wanazo tatu tatu.Ushawahi kuona Dume linajitia Mimba [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] basi ndo madume ya yanga
Mkuu niaje nasikia umepigwa rober ya Mbao [emoji16] [emoji16]Anzeni kupekua hadi kadi za clinic labda kuna wachezaji wa Mbao wanazo tatu tatu.
Kihalali tumepoteza mechi.Mkuu niaje nasikia umepigwa rober ya Mbao [emoji16] [emoji16]
Mkuu hiyo ni salama kwako maana ungefika fainali ungekula 4G na Mnyama huku tuko 9 dadaadeki..!Kihalali tumepoteza mechi.
Hatutafuti mchawi wala kamati ya saa 72
Wala kipa wa Mbao hakuona maruweruwe ya mpesa