Mliwafunga lini mbao?Yanga tegemeeni ushindi ambao haupo. Mbao tuliwafunga kwa ufundi mkubwa.Hata wakifika fainali tutawafunga ili tukawaonyeshe sisi ni washindani kimataifa na sio wawakilishi wa kujisifia madege ya watu.
Na watafungwa kweli hao simba, mbao wako vizuri sana na yule kipa waliyemnunua last match ameshatimuliwa, wajiandae tu
Wala haikuwa uongo mkuuSimba akishinda kanunua game ila Yanga ndo anashinda kihalali [emoji15]
Mama mimi ni yanga na nilikuwepo uwanjani, nimekubali tumefungwa, kiukweli wapiga randa wako vizuri wamatopeni a.k.a walalamishi wajipange. Na hiyo mechi tff waipeleke nje ya dar ili mkia achezee kichapo vizuri
Mliwafunga lini mbao?
Ile mechi mlimnunua kipa wa mbao thats why aliachia yale magoli, uliza kama yule kipa bado yupo mbao fc
Yanga fc mnaongea sana as if hata huko kimataifa kuna la maana mmefanya, miaka yote mwaishia juu juu tu........... Subiri tuwaonyeshe sasa kwenye confederation cup this time ili nanyi mjifunze kituWala haikuwa uongo mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndo la kwanza hilo... Mmejifunga... Utakuja kutujibu kama ni kuni au mbao
Kwelii wametukimbiaJana nilisema kuna kila dalili ya vyura kumkwepa simba ili kuepuka fedheha kwa mara nyingine.
AhsanteeVyura fc poleni[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bakuli fc wamechoka sijui hata kama leo wamekula teh teh kibubu kimejaa magwala
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unaniita?
[emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji15]Njaa imewaua Bakuli fc
Kama shabiki wa kutupwa wa Yanga,sina wasiwasi kabisa.
Naamini tunaumaliza mchezo kipindi cha kwanza...sisi sio watani wetu wanaosubiri kipindi cha pili ndipo 'wabahatishe' kushinda,mostly ushindi mwembamba.
Tukutane hapa saa 10 guys.
Makoye Matale Bantu lady Mbulu data nasmapesa nyumba tatu Mwana Mtoka Pabaya demigod Mgagaa na Upwa espy Monicca mkolaj Sibonike Danny greeny Matola na Wanajangwani wote tuwe hapa kuusindikiza ushindi tusiwe kama watani zetu wasio na matumaini ya ushindi wa ndani ya dakika 90,hadi mpira uishe (tena washinde) ndio wavamie jukwaa hahahaaaaaa
Viva Yanga [emoji123]
Ni heri umeisha hapo ungefika fainali ungekula 4G na Mnyama dadaadeki..!Bora Mbao ashinde ili aje achukue kombe la FA na matopeni wabaki matopeni