Kirumba, Mwanza: Mbao FC yaifunga Yanga 1-0 na kutinga Fainali za FA

Wana simba kaeni makini zamuyenu imekalibia asila tulizo nazo tutawapiga 5 ck yhiyo ya fainali jiandaeni kuzipokea
 
Akili za yanga utafikiri sijui ziko wapi. Mbao wameshine maana wamecheza na wazee.
 
Niwapongeze Mbao ni timu ambayo inaweza kufika mbali, katika Mkoa wa Mwanza kwa maana kuwa kila timu wanayopambana nayo hasa Simba na Yanga,nia yao ni ushindi tu. Tofauti na Toto Africa ni timu ya kipuuzi mno wao msimu mzima maandalizi yao ni mechi moja tu.

Heri ishuke daraja waende chini kule..!
 
Toto Africa siipendi toka moyoni wapo kuwapa points Yanga tu!!!
 
Jamani eeeeh,asiyekubali kushindwa si mshindani.
Nimekubali tumeshindwa,tumejaribu lakini bahati haikuwa yetu maana hata goli tumejifunga wenyewe.


Safi kabisa binti. Dawa ya feni kulipa
 
Rekodi za mwaka huu zinaonyesha timu zinazocheza mpira wa mzuri na ushindani ni Simba, Kagera na Mbao.

Yanga na Azam zimeshuka kiwango. Timu nyingine kama Toto Africa haileweki malengo ya msimu huwa ni kufika wapi. Mbao timu imepanda juzi lkn imekuwa gumzo nchi nzima na inacheza mpira unaonekana.
 
Uko wapi sikuoni [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]




 
Mpira wa Tanzania wa ajabu sana sijawahi kusikia kwa wenzetu ulaya mfano chelse wakate rufaa juu mchezaji fulani kuwa hakufuata kanuni za ligi halafu timu kubwa isiyohusika waje kutokwa na mapovu yasiyowahusu badala ya kuwa bize na timu zao yanga waliwekeza nguvu nyingi kwenye kesi ya kagera na ndipo kiongozi mmoja wao alisema watasimamia hiyo kesi Kwa gharama yoyote ile cha ajabu wachezazi wana hali ngumu kifedha mishahara hawajalipwa kikubwa zaidi walizama sana kwenye kesi badala ya maandalizi ya mechi makocha na viongozi walikuwa uwanjani kama kutimiza wajibu ila akili zao zilizama kwenye rufaa ya kagera matokeo yake yanaonekana
 
Mliwafunga lini mbao?
Ile mechi mlimnunua kipa wa mbao thats why aliachia yale magoli, uliza kama yule kipa bado yupo mbao fc
Sawa mkuu vipi yule golikipa aliyefungwa nane na yanga bado yupo kagera?
 
Msishangae fainali ya azam federation cup 2016/2017 ikachezewa mwanza kwa akili ya malinzi na mwesigwa akijua ndio atawakomoa simba
 
Ushawahi kuona Dume linajitia Mimba [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] basi ndo madume ya yanga
Anzeni kupekua hadi kadi za clinic labda kuna wachezaji wa Mbao wanazo tatu tatu.
 
Mkuu niaje nasikia umepigwa rober ya Mbao [emoji16] [emoji16]
Kihalali tumepoteza mechi.
Hatutafuti mchawi wala kamati ya saa 72
Wala kipa wa Mbao hakuona maruweruwe ya mpesa
 
Kihalali tumepoteza mechi.
Hatutafuti mchawi wala kamati ya saa 72
Wala kipa wa Mbao hakuona maruweruwe ya mpesa
Mkuu hiyo ni salama kwako maana ungefika fainali ungekula 4G na Mnyama huku tuko 9 dadaadeki..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…