Kirumba, Mwanza: Mbao FC yaifunga Yanga 1-0 na kutinga Fainali za FA

Kirumba, Mwanza: Mbao FC yaifunga Yanga 1-0 na kutinga Fainali za FA

Hawa mbao wanataka sifa sasa, hawajui serengeti boys wanataka pesa! Mtamwingiziaje kiubao kimoja wa kimataifa ili hali tunamsubiri aje tucheze mduara. Ayaaa weee mpira umeisha pole Nifan, Monicca na woote wa bonde la jangwani
 
Kanda mbili chaliiiiiiiiii kifo ca mende. Mbende-mbende[emoji12] [emoji20] [emoji12]
 
Ikiwa bado ina kumbukumbu ya nini kilitokea katika mechi yao ya watani ya mwisho ya ligi kuu,Timu ya Yanga imeonyesha hofu kuu baada ya kuwakwepa watani wao tmu ya Simba kwa kukubali kipigo toka kwa Mbao FC,
Hakukuwa na namna ingine Mnyama anatisha.Hongera watani kufanikisha hilo...
 
Kama shabiki wa kutupwa wa Yanga,sina wasiwasi kabisa.
Naamini tunaumaliza mchezo kipindi cha kwanza...sisi sio watani wetu wanaosubiri kipindi cha pili ndipo 'wabahatishe' kushinda,mostly ushindi mwembamba.

Tukutane hapa saa 10 guys.
Makoye Matale Bantu lady Mbulu data nasmapesa nyumba tatu Mwana Mtoka Pabaya demigod Mgagaa na Upwa espy Monicca mkolaj Sibonike Danny greeny Matola na Wanajangwani wote tuwe hapa kuusindikiza ushindi tusiwe kama watani zetu wasio na matumaini ya ushindi wa ndani ya dakika 90,hadi mpira uishe (tena washinde) ndio wavamie jukwaa hahahaaaaaa

Viva Yanga [emoji123]
Dume limejitia mimba Leo yakhe [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁 SIO MBAYA
 
Ni dhambi kubwa kutokushinda leo,mbao atabeba FA msimu mwingine kwa jitihada zake wenyewe.
Unadhani Matopeni hata wakipanda ndege mwakani watafika mbali basi?

Naam [emoji135]
Ni Mbao, Mbao 2017 hahahahaaa Msimbazi Raha tu
 
Ushindi mapema tu leo
b4c48ff83e414aba1f255a9104f5aa4c.jpg
Vipi mmeshinda ngapi Mwali wangu hahahahaa
 
Back
Top Bottom